Bando la chuo vipi?

Bando la chuo vipi?

Tigo kwanza internet yao ya hovyo niliwahi kujiunga na Chuo offer kwa wiki nzima internet IPO slow tena kwa line yao ya 4G nikaona upuuzi bora airtel unatumia gharama lakini unapata huduma bora voda ndio hawafai kabisa mb zao zinaenda haraka kuliko second za saa
 
Jamani sio lazima kuwa tigo. Karibuni halotel. Huku ni mb za kumwaga
 
Halotel hawana issue na wenyewe gharama ni zile zile labda kwa kifurushi cha Chuo ndio sifaham ukijunga unapata mb ngapi? Lakini kwa matumizi ya kawaida hamna kitu
 
Tigo kwanza internet yao ya hovyo niliwahi kujiunga na Chuo offer kwa wiki nzima internet IPO slow tena kwa line yao ya 4G nikaona upuuzi bora airtel unatumia gharama lakini unapata huduma bora voda ndio hawafai kabisa mb zao zinaenda haraka kuliko second za saa
upo sehemu gan kama ni kwa DSM internet tigo wako vizuri sana tena sana hata ukiwa na Simu ya 3G
sometyme tuache unafiki jamani

kwamm kwa dsm kwa internet 4g nazikubali kampuni tatu kwaza ni SMILE pili TTCL na tatu ni TIGO kwakuwa smile vifurush vipo juu sana nasi mbadala kwangu ni tigo hasa kwz bundle la chuo now 1gb kwa wiki araf ni full speed
 
saaahiv wameona watu weng tofaut na wanavyuo wanakuja kujiunga tu wakapunguza mpk ujisajili ndo upate hzo mb500
 
upo sehemu gan kama ni kwa DSM internet tigo wako vizuri sana tena sana hata ukiwa na Simu ya 3G
sometyme tuache unafiki jamani

kwamm kwa dsm kwa internet 4g nazikubali kampuni tatu kwaza ni SMILE pili TTCL na tatu ni TIGO kwakuwa smile vifurush vipo juu sana nasi mbadala kwangu ni tigo hasa kwz bundle la chuo now 1gb kwa wiki araf ni full speed
Mkuu.kuna uwezekano wa kujiunga kifurushi cha chuo kwa line ya 4G
 
upo sehemu gan kama ni kwa DSM internet tigo wako vizuri sana tena sana hata ukiwa na Simu ya 3G
sometyme tuache unafiki jamani

kwamm kwa dsm kwa internet 4g nazikubali kampuni tatu kwaza ni SMILE pili TTCL na tatu ni TIGO kwakuwa smile vifurush vipo juu sana nasi mbadala kwangu ni tigo hasa kwz bundle la chuo now 1gb kwa wiki araf ni full speed
Tatizo mtandao wao kila mara ni no service. Yaani haipiti Dakika 10. Hadi inakera
 
si kweri lbda upo eneo ambalo halina au simu yako inasumbua

ndiyo inawezekana lkn kupata gb 1 na dkk 130 kujiunga popote pale ni kwa watu maalumu tu ndo unapata hiyo menu
Ni kweli. Tena sio simu yangu tu. Ni watu wote wanaotumia mtandao wa tigo. Wengine walikua wanadhani simu zao mbovu. Mm nimelijua hili tatizo kwakua ni mtu wa kubonyeza sana. Huwezi kuliona kama unasubiri upigiwe au meseji iingie
 
Ukiona unapata 10MB tambua kwamba namba yako haijasajiliwa kama mwanachuo ""UMEDANDIA TRENI KWA MBELE NA UTAGONGWA TU"raha mustarehe kwa waliosajiliwa kwan sasa ni 1GB,unajiunga popote sio hadi ufike karibu na chuo na unapata kwenye *148*00# badala ya *148*01*20#.............POLENI WAZEE WA MTEREMKO LAKINI TIGO NI WEMA WAMEWAPUNGUZIA BADALA YA KUWAONDOLEA KABISA.
 
Back
Top Bottom