ZZZ:haka kamchezo ka siasa kazuri ona mpaka sasa watz hajashtukia kua tunafanya maigizo...ha ha ha ha!
TL:yaani mimi sinilikwambia toka kitambo watz ni kama mazombi ukileta jambo masikioni mwao wanalishobokea alafu wanasahau kumbe wenzao tunakuza majina kwenye media..he he he he!
WOTE: kesi imeenda tulivyo panga ebu tukajilie bata sisi...ha ha ha .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.