Bandarini Dar: Utoaji wa gari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bandarini Dar: Utoaji wa gari!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Papizo, May 15, 2009.

 1. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Ndugu na jamaa nadhani hapa JF hamna kinachoshindikana na nadhani tatizo langu watu wengi wanajua na wameshafanya sana..Sasa nilikuwa naomba kufahamu zaidi je kama nikiagiza gari kutoka Japan kuja bongo nadhani itafika vizuri bila matatizo yoyote sasa nilikuwa nataka kujua je pale bandarini kuitoa inakuwaje au process zake zinakuwa vipi??Na pia ni kiasi gani huwa wanacharge kutoa gari pale bandarini labda tutoe mfano gari aina ya toyota mark II labda inaweza kufikia kiasi gani kutolewa bandarini pamoja na kusajiliwa kwa ujumla??na kuiandikisha inaweza kuwaje??
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  andaa kama 4m hivi, nafikiri uta-clear pamoja na matatizo mengine
   
 3. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Nashukuru mkuu na nimekuelewa fresha..Asante sana!!
   
 4. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Inategemea gari hilo umenunua bei gani ( CIF) Cost, Insurance and Freight.
  Inategemea gari hilo ni la mwaka gani
  Inategemea gari hilo lina cc ngapi

  Hapa unaweza kufanya hesabu zako kwa kutumia formula hizi:

  Kodi za kulipa: Import Duty 25% of CIF, Excise Duty 10% of CIF ( From cc 2000),
  Kama ni la below 1999 utalipa 20% of CIF ya uchakavu,
  VAT 20% of Total (CIF + import+excise+Uchakavu) .

  Hizo ni Kodi, Ukija bandari kuna Warfage, Storage charges if excceed 7days before clearing, Port charges na upuuzi kibao wa kukimbiza file!!! , Then bado hujamlipa clearing and forwarding agent ambayo ipo kati ya 300,000/- hadi 500,000/= depending na utapeli wao.

  Registration ni kama 250,000/= hivi kwa sasa. Insurance kama unataka compressive ni 5% of declared value. Third part ni 70,000/=

  Sasa weka kwenye excel and do your calculation you will know how much a minimum you need.
   
  Last edited: May 15, 2009
 5. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180


  Nashukuru sana mkuu kwa meelezo yako mazuri na ya kueleweka pia.......Hamna shaka mkuu...Sasa ule mpango wa kupelekana hapa bandarini kumbe bado upo????Anyway hamna shaka nitafatilia zaidi kiasi gani kinahitajika hapo.......
   
 6. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Bora upitishe bandari ya mombasa huko itakuwa faster. Kama unataka bongo andaa rushwa kabisa. Maana pale napo kuna mafisadi wa kidazaini.
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Nashukuru sana Pretty unajuwa kila mtu ananiambia hivyo hivyo nimejaribu kuulizia wengi zaidi sehemu ya kuishusha wanasema kwamba bora MOMBASA itolewa haraka na pia bei yake ya kuitoa sio hela nyingi sana...ila nashukuru pia kwa mchango wangu.....Duu bongo kweli tambarale nilijuwa kumebadilika kumbe bado!!!
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Bongo bado kabisaaa! mie mwaka jana nilituma gari kutoka Dubai lilikaa miezi 3 pale bandari ya dar, hapo pesa kibao zilinitoka kutoa hilo gari. Mara watake hichi mara kile, ilimradi uwape kidogo dogo.
  Nina shost wangu katuma this year kutoka japan hadi mombasa week moja tu alifanikiwa kupata gari yake kutoka bandari ya mombasa. Akaisafirisha hadi bongo, na alitumia gharama kidogo tu.
   
 9. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Thanks pia nadhani mawazo yako yanaweza kunisaidia pia itabidi nifanye mpango au nicheck kwanza mahali pa kushushia maana bandarini kwetu pale sio mchezo......Alafu unaweza kuambiwa gari yako haijafika kumbe imefika ila calender na rushwa nyingi kweli bongo kila mtu anajiangalia yeye na familia yake na sio kwa faida ya raia wengine!!
   
 10. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Angalia msidanganyike kirahisi hivyo, bandari ya Dar kwa upande wa magari kwa kweli kwa sasa wamejitahidi sana, wameboresha huduma, hata ule wizi siku hizi hakuna tena. Hiyo ya Mombasa ni njia ilikuwa inatumiwa wakati ule TRA wanafanya uzembe kule mipakani ambapo watu walitumia ujanja kuingiza magari bila kulipia zile tax muhimu zote. Lakini kwa sasa ukitumia Mombasa nakuhakikishia it will cost you more than if you use Dar port. Ninafanya sana hizo biashara najua what is happening this time. Last week kuna gari ya mdogo wangu mmoja mbishi sana naye tumemshauri atumie dar port amebisha. Kilichomtokea anajuta hadi leo. Amelipa 2times more than mwenzake aliyepitisha dar port.

  Kuhusu gari kuchukua muda mrefu pale dar port sometimes tunawalaumu TRA kumbe uzembe ni wetu, watu wana forge documents ili CIF ionekane ndogo walipe kidogo. Sasa zile documents zikishakuwa proccessed ziko kwenye final kuna CIA wa TRA ambao wanapitia at last!! wakishagudnua hilo wanazirudisha inabidi uanze upya zoezi zima na utalipa Uplifted CIF.

  Mkuu nakushauri tumia document zako kama zilivyo bila forgery yeyote utapata gari lako within two weeks.
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Umesahahu kumwambia kuwa TRA wana bei zao....hiyo CIF yako toka Japan weka pembeni.....hayo mahesabu yaliyotolewa hapo juu yatakusaidia kukupa picha itakavyokuwa.......lakini jiandae na bei watakayoweka TRA ndiyo itakayopigiwa hesabu hizo hapo juu
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sasa kuingiza ndege huwa inakuwaje?..teh teh teh..
   
 13. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Ohhh sawa sawa mkuu nimekupata vizuri hapo na nashukuru sana kwa maelezo yako marefu na yenye kutia nguvu...Asante sana mkuu pia me nitawapa kama zilivyo siwezi kufanya harakati zingine za kuwaste my time.....Nashukuru sana na nimekupata hapo hamna shaka wala nini itabidi nifikirie sana kuhusu hilo swala la sehemu ya kufikia......Hamna shaka mkuu tupo sote......
   
 14. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Duu hapo ndio usiseme kabisa maana sio mchezo........
   
 15. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Nashukuru mkuu...Pia bei ya kuitoa Japan nimeshaijua tayari na kila kitu kipo fresh process zipo njiani....ila pale home kwetu ndio hivyo lazima hela ya pembeni itoke pia........
   
 16. O

  Ogah JF-Expert Member

  #16
  May 15, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kama Toyota Mark II yako umenunua kwa CIF DSM $ 4000 (most likely)....utaona gharama niliyokuambia kuwa uandae TShs 4m inatimia.........tena pengine itazidi.....
   
 17. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Sawa sawa mkuu hapo nimekupata na nimekuelewa vizuri kabisa...Nashukuru sana mkuu....
   
 18. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #18
  May 15, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Tehehe tehehhe hapo tukamwulizee Mkapa na Chenge pamoja na Dr. Idrisa Rashid watakuwa wanajua maana walishiriki kununua ndege ya rais.
   
 19. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #19
  May 15, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  "Mara watake kile mara hichi..." "hichi" ndio kitu gani hicho "hichi"? Labda tuwe specific zaidi.

  Hii kuwapelekea biashara Kenya nako ni sawa na ufisadi tu. Fisadi haitakii nchi mema, kama wewe na wenzio hapo juu, "bora Mombasa." Tujenge nchi yetu wajameni. Tu-protest hiyo rushwa hapo bandari. Kwa kuanzia hebu jua na taja walikuomba nini specifically? Hakuna anaesema waliniomba karatasi hii na procedure ile na hii badala ya hiki na kile. Walikudai "hichi," what do you mean "hichi," taxes? Darn skippy customs will tax you.

  Kumbe wateja wenyewe hawaleti genuine paperwork za mizigo. Unasema nataka kuingiza gari "kuja Bongo," kwa hiyo uko Dar, sasa kwa nini usiende Kurasini kusikia from the horses mouth? Know how to get there? Msimbazi Road all the way down, past Gerezani, past Nyerere Road, straight shot, can't miss it, if you hit blue waters you gone too far, alright, gosh! Hapa hakuna specifics, hakuna uzalendo, unaambiwa nenda Mombasa. Forget Mombasa, I'm not talking bout Mombasa. Tujenge vya kwetu, Holly Mecca!
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  May 15, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu Dilunga,

  Kwenye soko huria hakuna 'kwetu' wala 'ukwetu'
   
Loading...