Acha bhana... ama kweli wewe ni Greet Thinker! Kumbe meli 7000 duniani zimepaki na kuuzwa chuma chakavu na kilichopo huko baharini ni mitumbwi??!! Hata kama kilichopo ni mitumbwi; hiyo mitumbwi nasi tunaitaka lakini sio kwa mgawanyo huu:Siyo vizuri kushangilia msichokijua jamani. Hao waliyofuatwa ni wadaiwa sugu wa bandari siyo waleta mizigo. Wao mizigo wataleta na nini wkt meli karibu 7000 duniani zimepaki na zingine zimevunjwa kuwa vyuma chakavu kwa kukosa bidaa? Naona JF siku hizi imekuwa siyo greetthinkers bali imebaki ya wanywa mbege wasiyo na uelewa bali washangiliaji
Ukijua Huu,Wenzio Wajua Hule!Bado alisarenda kwa wafanyabiashara wa sukari, sasa bandari na bahati mbaya wafanyabiashara wa baandari hawawezi kulazimisha watu kutumia bandari yao, mbelekwambele., hapa KASI TU.
Swali Kuntu!
Viongozi Wetu wa Kiafrica Ufikiri Uongozi Unamanisha Una Akili Nyingi Kuliko Uwaongozao!
Nina hamu hata nimsikie akitamka neno Bandari tu, hivi karibuni. Maana hata neno Sukari silisikii tena kinywani mwake, japo hali bado ni mbaya mtaani bei ni kuanzia 2500 na kuendelea.Kufanya hivi ni upuuzi kiwango cha lami ni kutengeneza makundi, hivi hawa washauri wa bob wanatoka sayari gani
Kama ni kweli hili litakuwa kundi untouchable!
Kinachitakiwa ni kuweka mazingira rafiki kwa biashara
Uaminifu
Wepesi wa nyaraka
Uhakika wa kutoa mizigo kwa wakati
Kupunguza mlolongo wa kodi kwa ajili ya kuvutia wateja wengi zaidi
Bandari kufanya kazi 24/7 kwa shift
Nk nk
Na kwa kuwa unataka uonekane wa MAANA , ina umaje unapoonekana WA KAZI GANI?! Kila anapogusa panajamba nchi inayumba viwanda hata vya malapa hakuna, haa ubabe wa msukuma ni kuchinja tu kuongoza noooo.Ukijua Huu,Wenzio Wajua Hule!
Alikua anajua Urais ni kuchanganya Sodium Chroxide + Hydrogen and Carbon dioxide.Duniani kote...wafanyabiashara ndio waendelezaji uchumi sio wanasiasa..wala serikali....sasa Leo hii ukiona MTU anadharau biashara ni wa ajabu kidogo.... Maana lazima uchumi usimame...du hali mbaya.....
A na B ni majibu sahihi, ila jibu linalofaa ni C.Kwahiyo ni furaha kwako au ni uzuni
wanaruhusu kukwepa kodi au wana kodi ambazo ni reasonable!? Punguza jazba na hisia weweee.Mkubaliane kimsingi kwanza ndio mkubali kurudi.kama hawataki endeleeni kutumia bandari za jirani ambazo wanaruhusu ukwepaji kodi.
Weka na Hiyo Ya Afrika Kusini!Please!Acha bhana... ama kweli wewe ni Greet Thinker! Kumbe meli 7000 duniani zimepaki na kuuzwa chuma chakavu na kilichopo huko baharini ni mitumbwi??!! Hata kama kilichopo ni mitumbwi; hiyo mitumbwi nasi tunaitaka lakini sio kwa mgawanyo huu:
Bandari za Tanzania
View attachment 397338
Bandari za Kenya:
View attachment 397339
Bandari za Msumbiji:
View attachment 397340
Hapo hatujawekwa "mitumbwi" iliyopo na inayotarajia kufunga nanga kwa Madiba!!!!
Source: Marine Traffic
si alisema amewapa Siku 7 wawe wameisha lipa madeni wanayodaiwa, zilikua hazijaisha??Siyo vizuri kushangilia msichokijua jamani. Hao waliyofuatwa ni wadaiwa sugu wa bandari siyo waleta mizigo. Wao mizigo wataleta na nini wkt meli karibu 7000 duniani zimepaki na zingine zimevunjwa kuwa vyuma chakavu kwa kukosa bidaa? Naona JF siku hizi imekuwa siyo greetthinkers bali imebaki ya wanywa mbege wasiyo na uelewa bali washangiliaji
kodi za kukadiria, mzigo unafika hujui utachajiwa kiasi gani?Wafanyabiashara ndio wanaoirun dunia ,huwezi kushindana nae wakati huna hata kiwanda cha kutengeneza wembe
Waambieni waje wapaki na huku kwetu basi walau kupendezesha jiji.Kumbe kule Mombasa, Beira na Durban wanatudanganya meli zimeongezeka kumbe zimepaki tu hamna kazi kabisa.
Daaah!! Watu ni waongo sana aisee
No way!! Hii mbona sijaiona?Ogopa mpaka bandari inarusha matangazo kwenye tv stations kuhamasisha watu kutumia bandari ya Dar.
Bado nasubiri kumuona kwenye tangazo la Sukari, na kidevu chake.Ogopa mpaka bandari inarusha matangazo kwenye tv stations kuhamasisha watu kutumia bandari ya Dar.
kuna mijitu hapa ilifurahia sana kuanzia waandishi mpk wenye chuki binafsi wakajua anakomolewa jakaya and co kumbe hwakajua maskini kama maamuzi yale yalikuwa yanakuja ua bandariSasa mbona tunarudi kwa Jakaya kuwapigia Magoti Wakwepa kodi?
Meli zimepack!? Sasa mbona kilio kipo tz zaidi? Why Mombasa na Beira wanapiga kazi kama kawaida!?Siyo vizuri kushangilia msichokijua jamani. Hao waliyofuatwa ni wadaiwa sugu wa bandari siyo waleta mizigo. Wao mizigo wataleta na nini wkt meli karibu 7000 duniani zimepaki na zingine zimevunjwa kuwa vyuma chakavu kwa kukosa bidaa? Naona JF siku hizi imekuwa siyo greetthinkers bali imebaki ya wanywa mbege wasiyo na uelewa bali washangiliaji
N vzuri kama wametambua hlo na sisi ndio tunataka tuwaombeee wafanikiwe aisee.... Tusiwekeee siasa kwa hatua hiii nzuriHii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
Chanzo:Star tv magazeti
Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!