Bandari yasaka meli 65 zilizotoweka

Bandari yasaka meli 65 zilizotoweka

Ebu naomba rais wangu awe anatulia kidogo na kusubiri taarifa za kina, yaani meli zimepotea vooooooooom baada ya kushusha mzigo??
Naona Majaliwa kaamua achune sasa.
Ila nina mashaka na hii taarifa mwandishi inawezekana alimnukuu vibaya make haiingii akilini.
 
Mshauri wa rais ni mtu mwenye akili nyingi sana kuliko rais mwenyewe na ni mtu ambaye hamtakii mema rais.

Ukisoma majibu ya mamlaka ya bandari kwa undani ni kwamba mamlaka inambishia rais kwamba hakukuwa na kitu kama hicho na kwamba ulinzi uliopo na taratibu zilizopo kamwe meli 65 zisingeshusha mzigo na kutoweka.

Mimi naamini anayempa rais habari hana nia njema naye na kwa ajabu rais hafanyi verification za habari anazopata. Tumeona sehemu nyingi akidanganywa hadi kufanya maamuzi ambayo baade anayabadiri. Mfano, kusitisha ujenzi wa bandarini ya bagamoyo, wafanyakazi hewa BoT, wakurugenzi wanaolipwa 36M, kupiga marufuku uingizaji sukari, nk. Ifike wakati rais awe na uhakika na anachoambiwa na ajiridhishe, raia wa Tz anamshangaa rais anaposema kuna meli 65 zimeshusha bila kulipa kodi kipindi hiki ambacho wakusanya kodi wako macho zaidi. Mwananchi wakawaida anajiuliza kwanini usalama wa taifa unaompa rais taarifa hizo haukuwapo wakati meli zikifunga Nanga? Huyo aliyempa taarifa hizi bado amebaki kazini?
Well said ndugu!
 
Nchi yetu inapaswa kuingia kwenye Guinness book of record...
kontena 2000 na zaidi zinapotea
na sasa meli 65 zinatoweka
....Kabla ya hapo TWIGA walikatiza anga! Anga! na walipita nchi kavu (toka makazi yao ya kawaida), BILA KUONWA wala KUSIKIWA waki "ongea" achilia mbali harufu yao kusika. Milango ya FAHAMU ya wahusika ILIZIBA kabisa....
 
Huenda ngawala zilishusha magendo zikasepa. Inasikitisha na kuhuzunisha
 
Hizo meli zimekuwa mitumbwi ziingie kwa wingi bila kujulikana.

Magafuli anatakiwa aanze na hiyo aliyotoa hiyo idadi za meli.

Kajuaje kama meli 65 zimeingia kimya kimya.
 
Hizo meli zimekuwa mitumbwi ziingie kwa wingi bila kujulikana.

Magafuli anatakiwa aanze na hiyo aliyotoa hiyo idadi za meli.

Kajuaje kama meli 65 zimeingia kimya kimya.
Kuna watu walikuwaga wanaona vitu vinavyotendeka lkn hawakuwa na sauti au msikilizaji maana system ilikuwa imekaliwa na mwenyewe, sasa wanayatoa kwa sabb wanajua kuna msikilizaji na mfuatiliaji.
 
Mimi ningemshauri Dr Magufuli awe na ofisi ndogo pale bandarini! Ni sawa na kuwa na ufunguo wa nyumba ya mwanamke wako, anakuwa mtiifu zaidi kwa vile anajuwa unaweza akashtuka uko ndani tayari, wakati wowote!
 
  • Thanks
Reactions: R.B
magufuli asitudanganye. anamjua nani ana master mind hii yote. kama amamshindwa au anamwogopa afyate asituletee lonolongo. au amkabili au akubali kushindwa
 
Ukitaka ufaidi urais wa Tz uwe kama jk piga teips ukiwa conserned sana utakufa presha
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Magufuli ni Mkristu lkn mbona siyo mkweli? Yaan we kila siku tukwombee tuu, kwa yapi? Yaan mpaka meli 65 zinaingia na kutoka, hao watu wa TPA bado wanafanya nn bandarini? Na zile security cameras zinafanya kazi gani hapo? Pombe bwana unaboa na hii kauli yako ya kuombewa kila siku... Fanya kazi acha bongomuvi kuwa na uhalisia basi...
 
Aisee kama nikipindi cha awamu hii inabidi mfumo wa ajira pale bandari ubadilishwe uwe kwa zamu angalau kila mtanzania aonje ajira hapo bandari umaskini utakuwa umeisha maana kila mtanzania atakuwa amepiga duh meli 65 nomaa
 
Rais kasema leo yaani juzi akiwa rubondo na odinga. Hata hivyo ni kama miujiza hivi make anadai ilishushwa ndani ya Masaa machahe.

Hii mimi nakataa haiwezekani hata kimiundombinu hairuhusu hilo kufanyika au labda alimaanisha majahazi
 
Mshauri wa rais ni mtu mwenye akili nyingi sana kuliko rais mwenyewe na ni mtu ambaye hamtakii mema rais.

Ukisoma majibu ya mamlaka ya bandari kwa undani ni kwamba mamlaka inambishia rais kwamba hakukuwa na kitu kama hicho na kwamba ulinzi uliopo na taratibu zilizopo kamwe meli 65 zisingeshusha mzigo na kutoweka.

Mimi naamini anayempa rais habari hana nia njema naye na kwa ajabu rais hafanyi verification za habari anazopata. Tumeona sehemu nyingi akidanganywa hadi kufanya maamuzi ambayo baade anayabadiri. Mfano, kusitisha ujenzi wa bandarini ya bagamoyo, wafanyakazi hewa BoT, wakurugenzi wanaolipwa 36M, kupiga marufuku uingizaji sukari, nk. Ifike wakati rais awe na uhakika na anachoambiwa na ajiridhishe, raia wa Tz anamshangaa rais anaposema kuna meli 65 zimeshusha bila kulipa kodi kipindi hiki ambacho wakusanya kodi wako macho zaidi. Mwananchi wakawaida anajiuliza kwanini usalama wa taifa unaompa rais taarifa hizo haukuwapo wakati meli zikifunga Nanga? Huyo aliyempa taarifa hizi bado amebaki kazini?
Wewe nyumbu kwenye hayo uliyotaja lipi ?la kweli maana umeongea porojo!,maana hata huelewiki unaweza kutwambia au kututhibithia kuwa hakuna anayepata mshahara wa 36+ mil,je
 
Huyu rais nimeshaanza kumstukia sasa juwa ni mtunzi wa visa tu. Yaani katika kipindi hiki ambacho wametuhakikishia wamejiimarisha na wamefumuafumua taasisi na kuweka watu wake yaani bado analialia eti meli zimeingia na kuondoka bila ya kulipa kodi!!! Au ndiyo anatutangazia kimtindo kuwa nchi imemshinda.
 
Back
Top Bottom