Bandari yasaka meli 65 zilizotoweka

Bandari yasaka meli 65 zilizotoweka

tushazoea dili hatuwezi kuacha ata ufanyaje tutapiga tu
 
tushazoea dili hatuwezi kuacha ata ufanyaje tutapiga tu
Waliohusika na haya madudu ndio wanashikilia kinga za kutoshitakiwa hivyo sio ajabu JPM akaishia kwenye push-ups. Jana nimekatishwa tamaa na chama ca ANC cha Afrika Kusini ambacho daima wanatumia wingi wao kama ccm. Yaani mtu kaiba pesa ya nchi, mwanzoni alikataa lakini alivyobanwa akakiri na eti kaomba msamaha. Then mahakama imethibitisha kuwa aliiba lakini wabunge wanamkingia kifua, poor Africa!
Wakati Afrika ya Kusini wakifanya hayo, huko Iceland waziri katokea tu kwenye documents za Panama na katika muda usiozidi masaa 24 alishajiuzuru na hapo hakuna hata uthibitisho wa hizo tuhuma!
 
Kha ilikuwa makontena sasa meli aisee mbona hii majanga sasa, wahusika watumbuliwe fasta
 
Back
Top Bottom