Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

Hizo ndiyo stupid mindset zenu. Siku Tanzania itakapotia jiwe la msingi ujengaji wa refinery Tanganutakuja kusema Nini?
Manyumbu na Kenya inaonyesha mnaweza kuwapa hata nyashi zenu wakaIperekecha
Mgao wa mapato ukoje?? Ni 50-50, 90-10, 40-60?? Mbona sheria na regulations za TEIT inataka mikataba yote ya "rasilimali" ikiwemo hizi concession agreement ipelekwe bungeni why mmefanya siri wakati mmefanikiwa sana kama mnavyodai. Huoni ni vizuri sasa mfuate sheria na mpeleke huo mkataba bungeni ili kuwaumbua waliokuwa wanazusha uongo??

Again mgao wa mapato ukoje? Hisa zetu ni ngapi? Ni dillutable or non-dillutable? Kwanini mwekezaji anaweka billion 500 pekee kwa miaka mitano ilihali TPA ilikua ina uwezo wa kuwekeza hizo hata kabla ya mkataba?

Jibu haya maswali
 
Hizo ndiyo stupid mindset zenu. Siku Tanzania itakapotia jiwe la msingi ujengaji wa refinery Tanganutakuja kusema Nini?
Manyumbu na Kenya inaonyesha mnaweza kuwapa hata nyashi zenu wakaIperekecha
Utaweka jiwe la refinery Tanga lini wakati Kenya hapo mtambo unajengwa? Ama unadhani dola bilioni kadhaa ni mchezo? Nimekuuliza huo mradi wa LNG unaanza lini, maana kila siku ni ahadi, naona unarukia hekaya nyingine kabisa!
 
Back
Top Bottom