Bandari ya Dar es Salaam

Mpangawangu

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
802
1,000
Wadau leo Dr Harison Mwakyembe amehitimisha bajeti yake huku watanzania tukiwa tunaendelea kuibiwa bandarini.


Naomba wale wajuvi wa mambo ya bandari mnisaidie na kuwasaidia watanzania wenzangu ambao wsnaibiwa pale bandarini bila kujua nini tunapaswa kufanya.


Hivi nikiingiza gari,kwa mfano Toyota hiace van,Noah na Rav 4.

gari zote zimeshapitisha miaka 10,

je kwa utaratibu wa bandari yetu ,Toyota hiace itatozwa kwa kigezo cha cc kati ya 1001-2000 na kuendelea?

au watatumia kigezo cha 10 pasenger and above?

hebu tazama vigezo vyao.


rates
TAX RATES
C.C Import Duty Excise duty Extra Depreciation Duty VAT
0-1000 25% - 20% 20%
1001-2000 25% 5% 20% 20%
2001 and above 25% 10% 20% 20%
Pick ups 15% 0% 0% 20%
Trucks (trucks for pulling semi-
trailers) 0% 0% 0% 20%
Buses (from 10 passengers) 25% 0% 0% 20%
Land cruiser Hard tops carrying from


Samahani sana wakuu najua haijakaa vizuri maana nime copy na kupest.


Je kodi za bandari zinatozwa je kwa kuzingatia huo mwongozo?


Je pindi mteja anapokuta gari haina vitu ambavyo awali vilikuwemo(mfano screen)

Jeki ,power window,power mirrow,je nitalalamika kwa nani ili nilipwe vitu vyangu?


Naombeni mnipe mwongozo hasa wale ambao mpo hapo bandarini.
 

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,879
1,250
Rates
TAX RATES
  • C.C Import Duty Excise duty Extra Depreciation Duty VAT 0-1000 25% - 20% 20%
  • 1001-2000 25% 5% 20% 20%
  • 2001 and above 25% 10% 20% 20%
  • Pick ups 15% 0% 0% 20%
  • Trucks (trucks for pulling semi-trailers) 0% 0% 0% 20%
  • Buses (from 10 passengers) 25% 0% 0% 20%
  • Land cruiser Hard tops carrying from
 

Mpangawangu

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
802
1,000
Kwahiyo hizo rate,kama mtu ameingiza Hiace van yenye cc 2000 atatozwa kwa kuangalia gari zenye cc kati ya 1001-2000?
Au wataitoza kwa kuangalia kigezo cha gari yenye kubeba abiria zaidi ya kumi?
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,727
2,000
Watu mnachanganya sana kodi na port charges. Bandari haihusiki na lolote lile kuhusu kodi. Mambo ya kodi ni ya TRA.
 

mwenemti

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
310
0
tujuzeni jamani nami nataka kuagiza canter ton 2, cc 3640 itacost kiasi gani TRA hapa..!?
 

Mpangawangu

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
802
1,000
Nimeikuta sehemu hii

.....................


Kwa wale mnaoratajia kununua
Hiace kwa ajili ya kutoa huduma ya
usafirishaji maeneo ambayo usafiri
huu bado ni muhimu (hususani
maeneo ya miji midogo na ama
kusafirisha wanafunzi maeneo ya
mijini) kuweni macho na TRA.
Jamaa yangu mmoja amenunua
Hiace baada ya kuona katika
Calculator ya TRA (Tanzania
Revenue Authority - Calculators &
tools) kuwa Hiace zote ziko katika
kundi la Utility ikiwa ni pamoja na
magari mengine kama vile: Toyota
Hilux, Canter, Nissan Hard body,
Rosa, Coaster, Civilian, na kwamba
magari yote katika kundi hili yana
aina tatu tu za ushuru (kwa magari
chini ya 2004) , yaani Import duty
25%,Excise duty 5%, na VAT 18%).
Baada ya Hiace kufika BANDARINI
ndipo yakampata majanga.
· Wanamwambia kwakuwa Hiace
yake ina viti vyote ndani sio utility
· Harmonised system (H.S ) code
(Harmonized System - Wikipedia,
the free encyclopedia) iliyopewa
garin yake ni 87032399 (HS Code
87032399 | Harmonized System Code
Other) badala ya H.S code 87029091
(Motor vehicles for the transport of
ten or more persons, including the
driver ITC HS CODE List.)
· Kwa mujibu wa TRA HIACE yake
iko kwenye kundi la station wagon
au racing cars (Station wagon -
Wikipedia, the free encyclopedia,
https://www.google.com.au/
search?q=s...w=1366&bih=667) .
· Kwa maana hiyo uwepo wa viti
kwenye Hiace yake umeongeza kodi
kutoka wastani wa milioni 5.5 hadi
milioni 9 (karibu milioni 4!!).
· Kwa maana kwamba sasa
atatakiwa kulipa aina nne za ushuru
(yaani Import duty 25%, uchakavu
25% ,Excise duty 10%, na VAT 18%)
tofauti na calculator inavyosema.
Ushauri:
· Ili kuondoa usumbufu kwa
watanzania, na kuongeza uwazi kwa
taasisi hii, TRA hawana budi
kuorodhesha kwenye mtandao wao
gari zote zinazotambulika kama
“utility” nchini Tanzania ili wananchi
waweze kujua na kujiandaa. Siyo
lazima na ni usumbufu kama kila
anayetaka kununua kitu nje ya nchi
awasiliane kwanza na TRA kujua
taratibu zinasemaje.
· TRA wanatakiwa kufanya
marekebisho kwenye calculator yao
(hususan eneo hili) maana
linapotosha jamii badala ya
kuelimisha
· Wale wanaotarajia kununua Hiace
hakikisheni hazina viti ndani na/
ama fanyeni utaratibu viti
viondolewe hukokuko gari inapotoka
au mara tu baada ya kufika bandari
kavu. Hii ni kwa sababu marginal
benefit ya Hiace isiyo na viti ni
kubwa kuliko yenye viti.
TRA, HUU KAMA SIO WIZI NI
UPOTOSHAJI MKUBWA
 

JMF

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
929
1,000
Majanga!!
Nimeikuta sehemu hii

.....................


Kwa wale mnaoratajia kununua
Hiace kwa ajili ya kutoa huduma ya
usafirishaji maeneo ambayo usafiri
huu bado ni muhimu (hususani
maeneo ya miji midogo na ama
kusafirisha wanafunzi maeneo ya
mijini) kuweni macho na TRA.
Jamaa yangu mmoja amenunua
Hiace baada ya kuona katika
Calculator ya TRA (Tanzania
Revenue Authority - Calculators &
tools) kuwa Hiace zote ziko katika
kundi la Utility ikiwa ni pamoja na
magari mengine kama vile: Toyota
Hilux, Canter, Nissan Hard body,
Rosa, Coaster, Civilian, na kwamba
magari yote katika kundi hili yana
aina tatu tu za ushuru (kwa magari
chini ya 2004) , yaani Import duty
25%,Excise duty 5%, na VAT 18%).
Baada ya Hiace kufika BANDARINI
ndipo yakampata majanga.
· Wanamwambia kwakuwa Hiace
yake ina viti vyote ndani sio utility
· Harmonised system (H.S ) code
(Harmonized System - Wikipedia,
the free encyclopedia) iliyopewa
garin yake ni 87032399 (HS Code
87032399 | Harmonized System Code
Other) badala ya H.S code 87029091
(Motor vehicles for the transport of
ten or more persons, including the
driver ITC HS CODE List.)
· Kwa mujibu wa TRA HIACE yake
iko kwenye kundi la station wagon
au racing cars (Station wagon -
Wikipedia, the free encyclopedia,
Google
search?q=s...w=1366&bih=667) .
· Kwa maana hiyo uwepo wa viti
kwenye Hiace yake umeongeza kodi
kutoka wastani wa milioni 5.5 hadi
milioni 9 (karibu milioni 4!!).
· Kwa maana kwamba sasa
atatakiwa kulipa aina nne za ushuru
(yaani Import duty 25%, uchakavu
25% ,Excise duty 10%, na VAT 18%)
tofauti na calculator inavyosema.
Ushauri:
· Ili kuondoa usumbufu kwa
watanzania, na kuongeza uwazi kwa
taasisi hii, TRA hawana budi
kuorodhesha kwenye mtandao wao
gari zote zinazotambulika kama
utility nchini Tanzania ili wananchi
waweze kujua na kujiandaa. Siyo
lazima na ni usumbufu kama kila
anayetaka kununua kitu nje ya nchi
awasiliane kwanza na TRA kujua
taratibu zinasemaje.
· TRA wanatakiwa kufanya
marekebisho kwenye calculator yao
(hususan eneo hili) maana
linapotosha jamii badala ya
kuelimisha
· Wale wanaotarajia kununua Hiace
hakikisheni hazina viti ndani na/
ama fanyeni utaratibu viti
viondolewe hukokuko gari inapotoka
au mara tu baada ya kufika bandari
kavu. Hii ni kwa sababu marginal
benefit ya Hiace isiyo na viti ni
kubwa kuliko yenye viti.
TRA, HUU KAMA SIO WIZI NI
UPOTOSHAJI MKUBWA
Ingawa uzi ni wa kitambo sana, ila nimeshangaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom