Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

Kwani jk mwenyewe kilimshinda nini kuijenga kwa miaka 10 aliyokaa madarakani?kati ya jk na magufuri aliekaa madarakani miaka 5.5 nani kafanya makubwa ambayo kamwe yatachukua hata miaka 30 kufanywa na wengine
Wewe kenge kaa kimya!! Kama hujui kazi alizofanya Kikwette. Mnamuabudu huyo marehemu kwa vile aliwajaza uwongo
 
Kajifunze MEMKWA kuandika kwanza kabla hujaanza kubishana na wenye akili wa JF. Hakuna neno "kimekamirika", bali kuna "kimekamilika"

Tunabishana na watu mbumbumbu sana humu
Sasa ntamuwezea wapi mtu aliesoma bachelor degree in kiswahili
 
Makusanyo ya TRA kwa kipindi ch nusu
Lakini number bado zinaibeba
Lakini number bado zinaing'arisha bandari yetu kama 40% ya makusanyo ya TRA yanatokana na bandari na kwa mujibu wa Kamishna mkuu wa TRA makusanyo kwa mwezi Desemba 2024 yameongezeka kwa 9.2% kutoka 2.79 tril mwaka wa fedha 2022/2023 na kufika 3.05 tril mwaka wa fedha 2023/2024. Makusanyo kwa nusu mwaka 2023/2024 yameongezeka 11.5% ukilinganisha na mwaka wa fedha 2022/2023 kutoka 12.49 tril mpaka 13.92 tril kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Bila shaka kama kusingekuwa na ufanisi katika bandari TRA wasingefika hapo. Nimekuelewa sana.
 
Hujaelewa hoja ya Huihui2 kuhusu Lobito. Ameiweka hapo Lobito kuonyesha hatari inayotukabili kama hatuta fanya improvement ya operations zetu pale TPA
Wewe ndio hujaelewa swala la Lobito na improvement ya bandari yetu ni vitu viwili tofuti. Bandari wanafanya improvement kila siku na hawawezi kuacha kufanya improvement kama taasisi. Mfano kuna improvement kwenye security n.k.. we unataka improvement kwenye lipi kwa mfano.

👇👇👇👇
ZAmbia, DRC na Angola haziwezi kuacha kuupigia chapuo huu mradi hapo kuna zaidi $16 bil. Unazungumzia ujenzi wa reli, barabara, airports n.k lakini ukweli ni kwamba biashara ya Lobito ni soko la Ulaya na Marekani ni shortest route. Vilevile ni kutunishiana misuli kwa asili ya Wamarekeni na China ni siasa za kimkakati kati ya China na Marekani.
-> Lobito haina mahusiano na ufanisi wa bandari yetu, Lobito ni mkakati wa wababe wenyewe.
 
Ifanyeni mifumo isomane!! Jibu kama hilo ni la kijinga na kipumbavu kwa mteja wa DRC au Zambia. Kwani TRA na TBS ziko nchi gani?
VIzuri kumbe umenielewa kuhusiana na Lobito Corridor. Mifumo siyo ishu. Tatizo ni uzezeta kwamba mkipita kwenye daladala pale salenda bridge mkiona meli baharini msema kuna shida bandarini bila data, bila taarifa, mnapiga ramli tu. Tuache ujuaji kwa tusilolijua. Tufurahie urithiwetu, mali yetu watanzania. Mameli yaje yakiwashinda bandari kuyapakua tutakwenda sisi wazalendo tutapakua hata kwa mikono yetu.
 
Makusanyo ya TRA kwa kipindi ch nusu
Lakini number bado zinaibeba
Lakini number bado zinaing'arisha bandari yetu kama 40% ya makusanyo ya TRA yanatokana na bandari na kwa mujibu wa Kamishna mkuu wa TRA makusanyo kwa mwezi Desemba 2024 yameongezeka kwa 9.2% kutoka 2.79 tril mwaka wa fedha 2022/2023 na kufika 3.05 tril mwaka wa fedha 2023/2024. Makusanyo kwa nusu mwaka 2023/2024 yameongezeka 11.5% ukilinganisha na mwaka wa fedha 2022/2023 kutoka 12.49 tril mpaka 13.92 tril kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Bila shaka kama kusingekuwa na ufanisi katika bandari TRA wasingefika hapo
Lobito corridor my foot.
 
Taja hapa Kila mtu ataje zake.
Watanzania mna ujinga Sana sijui ni madhara ya elimu tunayopata hadi tunashindwa kutafuta taarifa.

Barabara za lami na mataa unayoyaona mitaani kwenye majiji yote ni mradi wa Dar metropolitan project, huu mradi aliusaini kikwete na ulipangwa kuisha mwaka 2022. Ni pesa za World Bank. Sijui kwanini sifa mnampa Magufuli peke yake. Ingia hapa world usome mwenyewe. Development Projects : Dar es Salaam Metropolitan Development Project - P123134

Sipingi uchapakazi wa Magufuli ila tuache kupotosha.

Mradi wa umeme vijijini kikwete aliuacha ukiwa unakuwa financed na MCC PROJECT ya Marekani na lengo ilikuwa vijiji vyote viwe na umeme mpaka 2020. Ila Magufuli alipokonywa huo mradi wa MCC na Marekani, leo tunakatwa hela za REA kila tukinunua Luku.


Daraja la Ubungo upembuzi yakinifu na mkopo wa pesa zake umeanza kuanzia kipindi Cha kikwete. Naomba uchukue muda kusoma hii article TANROADS – Ubungo Interchange – Dar es Salaam
 
Kama huwezi kuona tushio la bandari ya Lobito kwa bandari ya Dar basi wewe ni myopic. Tuna vijana wajinga sana kama taifa. Halafu unawezakuta wewe ni mfanyakazi wa TPA au wizara ya uchukuzi. Uko hapa unakaza fuvu kutetea MEDIOCRITY hapa.

Kutunishiana misuli ndiyo nini? Biashara haina uhasama, lugha yake ni moja tu FAIDA
 
Kwani jk mwenyewe kilimshinda nini kuijenga kwa miaka 10 aliyokaa madarakani?kati ya jk na magufuri aliekaa madarakani miaka 5.5 nani kafanya makubwa ambayo kamwe yatachukua hata miaka 30 kufanywa na wengine
Kama wewe umezaliwa baada ya 2000 nitakubaliana na mawazo yako kwa kuwa utakuwa ulianza kupata ufahamu ukiwa na miaka 10, yaani mwaka 2010.

Unachoelewa ni kile ulichokikuta na ndiyo maana unamuona yule pimbi wa Chato kama alifanya kazi ? Kwani hii Tanzania unayoiona imeanza mwaka 2015? Chukua muda na tumia akili "kama unazo" ili ujuwe kuanzia Nyerere 1961-85 nini kilifanyika. Angalia barabara za kuanzia Dar- Tunduma, TAZARA na uanzishaji mashirika ya umma zaidi ya 400 huku kuna umoja wa kitaifa na elimu bure. Nenda kamuangalie AH Mwinyi 1985-1995 uone alifanya nini kwenye kuleta soko huria, barabara za njia 2 Dar es Salaam na barabara za Arusha Segera

Halafu njoo kwa BW Mkapa uone Baba wa uchumi na miundombinu namna alivyoteremsha deni la taifa. Yeye ndiye aliyehakikisha barabara ya Kahama-Nzega- Singida-Dodoma inakamilika ili Watanzania wa Kagera wasipite Uganda na Kenya wanapokwenda makwao

Mwishowe njoo kwa JKikwete uone alivyomailizia kuunganisha mikoa yote kwa barabara za lami kasoro Tabora - Mbeya.

Hawa watangulizi walifanya mengi kuliko hayo ila hawakuwa watu wa masifa kwa sababu walijuwa ndiyo kazi yao.

Nyinyi wajinga mumeingia mtego wa propaganda zake kwa kuwa hamkuwa na akili ya kutafuta taarifa. Kujenga daraja au kununua ndege isiwe excuse ya kuua watu bila sababu
 
Tishio lipi? Kwani bandari ipo moja tu kusini mwa Afrika? Huna facts unalalama tu, Lobito corridor ni mradi wa wamarekani wakati 80% ya copper mines ya DRC ni ya Wachina (ASIA), shortest root ya Asia ni bahari ya Indi. Kwahiyo Mchina azunguke atlantiki, aje bahari ya Indi aende Uchina siatakuwa kichaa. Lugha ya bandari ya Dar ni faida tu shortest root means faida.
 
Umeongea point na Pumba
 
Mwaka 2022 Zambia walizalisha dhahabu zaidi ya tonnes 800k, zilizopita Dar es Salaam ni tonnes 198k tu. Zingine zingine zilipita Beira, Walvis Bay na Durban.

Usijikite sana kwenye Lobito kwa vile reli ilikuwa abndoned na inakarabatiwa baada ya kufungwa kipindi cha vita vya Savimbi.

Suala langu ni kwamba tungekuwa na EDFFICIENCY kwenye Dar Port pengine 80% ya mzigo wa copper ya Zambia ungepita Dar tofauti na sasa ambapo tunaambulia 25% tu
 
Dhahabu???? Mzigo wa soko la west hakuna namna lazima upite hiyo njia huwezi kukwepa huo ukweli. Huwezi pitisha mzigo wa zambia kwenda marekani/ulaya bahari ya hindi yaani uongeze urefu wa safari maana yake uongeze gharama si kweli. Bandari yetu inafanya vizuri, kazi zinafanywa masaa 24 katika siku saba za wiki.
 
Hongereni TPA kwa kufanya kazi 24/7
 
Typo error, I meant copper. Ila Hujajibu swali, rudi tena soma na uelewa kisha ujibu hoja
 
Cha kukuongezea tu nikwamba baada ya mkapa kumteua magufuri kua naibu waziri wa ujenzi,magufuri ndie alipeleka ushauri kwa rais mkapa namna wanaweza kufanya ili kuifungua Tanzania kwa bara bara za lami na huyo huyo akiwa naibu waziri na waziri kamili ndicho kipindi hasa bara bara nyingi za lami kuunganisha mikoa zikawa zinajengwa kwa fujo.Sina takwimu sahihi za kilomita zilizojengwa yeye akiwa msimizi lakini maarifa hayana mwisho ntatafta tu nikupe Kama hutaki
 
popote ulipo upate PEPSI BARIDIIIIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…