Banda la kuku 400 linauzwa bei rahisi

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,187
Liko Tabata segerea..
linachukua kuku 400 wa nyama ...
au kuku 200 wa mayai..
limetengenezwa kwa ghorofa 4 kwa utaalamu wa hali ya juu kwa kutumia vipande vyepesi vya mbao na nyavu...
Mwenye nalo anauza sababu anahamishwa kikazi mkoani.
bado jipya kabisa..kuku wanakanyaga juu ya nyavu katika kila ghorofa..
wakinya mavi yanadumbukia chini kwenye base ambapo hawawezi kuyakanyaga mavi...hii huwafanya wanakua wasafi muda wote maana hawakanyagi kinyesi na huwafanya waondokane na magonjwa kutokana kua hawawezi kudokoa kinyesi....
lina urefu wa mita 9 upana mita 1.5,,,kimo ni mita 3 ...
ni rahisi kuhamishika unavyotaka na pia lilivyotengenezwa ni rahisi kulisafirisha kwa vipande vipande kama vinne.

Bei ni laki sita kwa lote Ila ukihitaki nusu ni laki 3,,,ukihitaji robi ni laki 2,,,liko portable ndo maana nimekwambia linagawanyika kirahisi kwa vipande kama unalisafirisha kwa maeneo ya Dar.

Hiyo picha inaonyesha ni urefu wa nusu banda tuu..

Mawasiliano ni 0759501127

img_20160216_093317-jpg.323482
 

Attachments

  • IMG_20160216_093317.jpg
    IMG_20160216_093317.jpg
    383.4 KB · Views: 1,701
Linauwezo wa kukutengenezea sio chini ya m1.5 kwenye mayai kama uko serious na ufugaji kuku....huhitaji eneo kubwa la kufugia maana hata Mimi nimepanga tena ni ndani ya fensi na eneo lililotumika ni dogo tuu na usafi ni wa hali ya juu...
 
Linauwezo wa kukutengenezea sio chini ya m1.5 kwenye mayai kama uko serious na ufugaji kuku....huhitaji eneo kubwa la kufugia maana hata Mimi nimepanga tena ni ndani ya fensi na eneo lililotumika ni dogo tuu na usafi ni wa hali ya juu...

Mzee niko interested, nakaa Kisukuru karibu na shule ya secondary ya Regency
 
Back
Top Bottom