kande kavu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 234
- 86
Kuna jamaa yangu aliapa, kwa jinsi askari wa mashati meupe wanavyomsumbua kunako barabara, lazima atafute askari wa kike wa nyeupe amalizie hasira zake(kulipiza kisasi na si kutafuta favor). Kwamba atahakikisha anakula tunda la binti akiwa kwenye sare zake. Na karibuni nimetambulishwa kwa shemeji mpyaaaaa,TRFK!
Hoja;
Kwa nini inakuwa hivyo? Kwamba sisi midume mara nyingi tuko tayari kutafuta tendo la ngono kwa mabinti tofauti kwa sababu moja tu na pengine ya kipuuzi kama hiyo hapo juu? Ooh....KWA SABABU MNENE, MWEMBAMBA,KIGOLI,CHEUPE,MABASTOLA n.k?