Wakuu hapo ni baada ya Kiwira, kabla ya mto Kiwira just before kuanza kupanda milima sehemu inaitwa "Uwanja wa ndege".
Kama unavyoona ni mvua siku hiyo(kwenye kioo) na nilipaki kununua ndizi kwa ajili ya safari ya kurudi Dar siku ya pili.
<!-- google_ad_section_end -->