Ban from using internet

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,701
Hivi ninawezaje kumzuia mtu asitumie internet kwenye pc yangu apart na kuweka password kwenye PC?
 
Acha uchoyo ndugu yangu!WAZUNGU wangetunyima kutumia internet tungefanyaje?
 
kumzuia sio suluhisho ndugu yangu mwache mtoto wako nae afurahie dunia aone ufahari wa technologia na maendeleo ulimwenguni unaweza kutumia baadhi ya programu kuzuia asitembelee baadhi ya tovuti na zingine atembelee huo ndio ushauri wangu

kuna mfano bitdefender internet security ina sehemu ya parential control , zone alarm na zingine ningi wewe tafuta utapata za kuweka kublock baadhi ya tovuti

mchana mwema
 
Kama ni broadband issue kidogo ina kuwa complex sababu hutaki password, broadbad wao setting zao comes in automatically, kama ip's , gateway, DNs and proxy but tusisahau broadband is a typical dial up connection where user is identified by his/her account and password, hence restrictions are done basing to those two parameters.

nafikiri mwanao bado mdogo and does not know user account and password kwa hiyo uwe unazitoa. kama anajua waweza kuwa unaremove broadband dial up account kwenye browser whenever you finsh using or tick the option of never dial baada ya kutumia

nafikiri this can help
 
Acha uchoyo ndugu yangu!WAZUNGU wangetunyima kutumia internet tungefanyaje?

sasa ishu ya wazungu imekujaje hapa ? wewe vipi bwana

hujui wachina sasa hivi wanaandaa standard zao katika mambo ya technologia ? wewe unalilia wazungu paka leo ? wazungu wakina nani ??
 
sasa ishu ya wazungu imekujaje hapa ? wewe vipi bwana

hujui wachina sasa hivi wanaandaa standard zao katika mambo ya technologia ? wewe unalilia wazungu paka leo ? wazungu wakina nani ??

Wanzilishi ni kina nani?je wangetubania ingekuwaje?wachina wenye vitu vya low quality hao!
 
wangekuwa low kwality wasingefikia hatua ya kuanzisha mchakato wa standard zao kwahiyo hollo uwe makini sana unavyotoa madai yako mengine ambayo yanadhalilisha jamii zingine wacha hizo bwana kwani wazungu ni wakina nani ? mbona wengine hawako uzunguni na wanafanya mambo mazuri tu ? zaidi ya wazungu ?

msingi wa binadamu au jamii yoyote ile ni kushirikiana katika kaya zote ndio maana wao walifika hapo walipo walishirikiana na wengine kwahiyo maendeleo yaliyofikiwa sasa hivi ulimwenguni hata kwao ni jitihada za ushirikiano wa jamii hizo kuanzia asia mpaka ulaya na arfrika

hata sisi tukishirikiana na kujenga yetu kwa hakika tutafika mbali

si unaona wachina ?
 
YoYo,

Kutegemea na ujuzi wako na wa huyo mtu, unaweza kutumia njia tofauti kuanzia kuchomoa waya wa internet, ku disable network cards au kutumia internet filtering software

Kuna review ya internet filtering software 10 bora hapa, nyingi zina chaguo la kuzuia kabisa internet connection.

http://internet-filter-review.toptenreviews.com/
 
Lakini kama kuna technical ways nyingine naombeni
 
Lakini kama kuna technical ways nyingine naombeni

Njia ingine ni kuingia katika router kupitia IP address ambayo huwa ni default kwa mfano http://192.168.1.1 kwa router ya Linkys.

Sasa kulingana na aina ya router yako tafuta default IP address ambayo utaipata katika manual ya router hio.

Ukiishaingia humo katika sehemu ya filtering Mac addresses unaweza kuiambia kwa isikubali IP address ya computer husika kupata internet connections.
 
the easiest way ni kuturn off that device.....
ikishindikana peleka mwanao shule ya boarding uone kama atakudistab na JF yetu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom