Just wait and see how important she is to 'Bama's campaign
I know she is, I was just underlining the oxymoron between Public and Secret... never mind.Just wait and see how important she is to 'Bama's campaign
Bubu, promise me one thing. That, if Obama loses you are not going to cry racism.
Racism pamoja na kuwa imepungua sana lakini ipo. Nani alitegemea Bama ashinde 08? Tulikuwa tunasikia kwamba, "America is not ready for a Black president." lakini Mwanaume akafanya vitu vyake.... akishindwa sitalalama kwamba ni ubaguzi bali watu hawaamini kama sera zake zinafaa kupewa awamu nyingi ya miaka minne....lakini hilo la kushindwa kwa sasa hivi silioni maana opinion polls zinaanza kuonyesha kwamba baada ya kushuka hadi 36% sasa amepanda na kukaribia 50% hivyo itakuwa ni kampeni ya patashika nguo kuchanika ila naamini kabisa 'Bama atapewa awamu nyingine ya miaka minne.
Miezi kumi kwenye American politics ni a lifetime! Na opinions ni snapshots za muda tu na kwa sasa hazimaanishi chochote.
Ila nafurahi kusikia kuwa kama akishindwa hutalalama ubaguzi.
Huo ndio ukweli lakini wakati mwingine huwa zinabaki hivyo kwa kipindi chote cha kampeni. Mie nilidhani kwamba uchaguzi huu ungekuwa ni rahisi mno kwa Republicans lakini haitakuwa hivyo na dalili zinaonyesha kwamba mshindi anaweza asijulikane mpaka alfajiri ya November 7, 2012.