wala hata usishangae ndo madereva wa bangi wanavyofanya hivyo ila kwa dereva makini kama mimi siwezi na haitakaa itokee nipite kwenye taa nyekundu hata kama nina haraka kiasi gani
kama magari yanayotoka mjini yameruhusiwa technical hakuna haja ya yale yanaoenda mjini yasimame kwenye red kwa vile hakuna njia ya kwenda kulia kwa wanaotoka mjini. Ila kama unatoka mjini na kuna red light na wa Mwenge wameruhusiwa kuwa mwangalifu na magari yanayokata kulia kutoka Mwenge. Walioweka hizo taa hawakupangu kutumia "logic sequence" inayotakiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.