Bamaga Traffic lights

alex50

JF-Expert Member
Jan 28, 2008
217
114
Taa hizi za kuongozea magari huwa zinanichanganya sana, utakuta taa nyekundu magari yanapita tu, ukisimama unakuta hamna aliyeruhusiwa.

Sijui ni mataizo yangu au zimekuwa programmed vibaya
 
wala hata usishangae ndo madereva wa bangi wanavyofanya hivyo ila kwa dereva makini kama mimi siwezi na haitakaa itokee nipite kwenye taa nyekundu hata kama nina haraka kiasi gani
 
Nikweli aisee.. Kuna logic error katika zile taa za bamaga,, mim mwenyewe nimeshaexperience mara kibao..
 
Siku hizi watu hawaeshimu taa za barabarani hata taa nyekundu ikiwaka watu wanapita tuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kama magari yanayotoka mjini yameruhusiwa technical hakuna haja ya yale yanaoenda mjini yasimame kwenye red kwa vile hakuna njia ya kwenda kulia kwa wanaotoka mjini. Ila kama unatoka mjini na kuna red light na wa Mwenge wameruhusiwa kuwa mwangalifu na magari yanayokata kulia kutoka Mwenge. Walioweka hizo taa hawakupangu kutumia "logic sequence" inayotakiwa.
 
Gari ina derefa, naongoswa na mataa,
Ile taa najua saidi kuliko derefa?

-Marehemu Mr. Ebbo
 
Back
Top Bottom