Balozi za nje kumiliki ardhi

kidodosi

JF-Expert Member
May 1, 2013
2,290
1,379
Salaam Salaam!!!!
Naomba kujua sheria inasemaje kwa balozi za nje kununua na kumiliki ardhi nchini?
maana nimeona balozi mbali mbali zimewekeza nchini na kujenga ofisi na makazi,
Mfano sasa serikali imewapa ardhi Dodoma,wanatakiwa kujenga uko Je wanamamlaka ya kuuza hapa Dar na kwenda kuwekeza Dodoma?
 
Hakuna balozi inayoenda Dodoma sababu kuu ni accessibility.
US Embassy na UK, EU hawa hawawezi hama.
Chinese pia haiwezi hama japo hawajajenga, sababu kubwa ni kuwa inahudumia sana wafanyabiashara, na wengi wapo Dar
 
Sheria ipo wazi kuhusu hilo kuwa mgeni hawezi kumiliki ardhi hapa Tanzania labda tu kwa lengo la kuwekeza tu basi. Ila mgeni huyo anaruhusiwa kupanga(lease) kwenye ardhi yetu.

Hivyo basi, kwa maoni yangu huwezi uza kitu kisichokuwa cha kwako. kama wanataka kuondoka inabidi warudishe hilo eneo kwa Tanzania investment Centre.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi , maana kuna Afisa mmoja wa balozi ya nje anasema wanampago wa kuuza makazi ya Balozi wao maeneo ya masaki
 
Sheria ipo wazi kuhusu hilo kuwa mgeni hawezi kumiliki ardhi hapa Tanzania labda tu kwa lengo la kuwekeza tu basi. Ila mgeni huyo anaruhusiwa kupanga(lease) kwenye ardhi yetu.

Hivyo basi, kwa maoni yangu huwezi uza kitu kisichokuwa cha kwako. kama wanataka kuondoka inabidi warudishe hilo eneo kwa Tanzania investment Centre.
Kama ndiyo hivyo lazima serikali ilipe FIDIA kama kuna maendeleo yoyote ya kimsingi yalifanyika kwenye ardhi husika siyo?
 
Back
Top Bottom