Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke asikitishwa na kitendo cha kufungiwa kwa gazeti la The Citizen

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
1A04F2B0-21DD-4B91-A48F-719381393D42.jpeg
 
Msaliti Lisu hao ndiyo rafiki zake

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini gazeti limefungiwa ? jipe muda wa kujitafakari wewe kilamba miguu
uhuru wa maoni hauna mipaka, sheria za habari zipo kulinda habari msizozipenda kwa bahati mbaya sana mnataka kusikia yale mnayoyapenda tu.. huo ni ushamba wa kiwango cha mwendo kasi . mmetuzimia mpaka vishimbushi kwa sababu za kijinga mmno kisa tuangalie vipindi vya kikasuku vya TBC nani angalie mambo ya msigwa ? mmefungia magazeti ya uchambuzi ili tusome yale ya shigongo
 
Back
Top Bottom