Balozi wa Uganda atimuliwa Marekani kwa kuleta Uafrika, Alimtandika mkewe

Jamaa aliandaa Misa ya Shukran kwenye Makazi yake Washington, Mmoja wa wahudhuriaji wa Missa hiyo alikuwa Hawara yake ambae Huyo Mama alikuwa anamjua na alipomuona Yule Hawara akamtambua na akalianzisha kwa Mumewe mbele ya wageni

Baada ya Misa kwisha Yule Mwanaume ukabidi amtembezee kisago cha Mwana ukome Yule Mkewe ili awe na adabu Siku nyingine

Duh!, kakaribisha hawala nyumbani, kachapa mwanamke halafu Nchi za watu. Diplomat mzima!

Typical..
 
Piga tu.
Kwani huyo balozi akirudishwa huyo mama ndio atabaki tena tukishuka airport nchini kwetu ndio nakuponda zaidi upate akili
Wooote wawili wanarudi ili kuanza maisha ya kiubangaizaji. Hivi kama mama angalimtwanga mume, hao wadhungu wangaliamuaje?

Mwanamke anaweza asirudishwe akitaka kubaki. Akapata Lawyer mzuri wa kumtetea, tena anaesimamia masuala ya haki za wanawake.
Akasimama kwenye kigezo hiki cha maisha yake kuwa hatarini na mume wa hivi kama watamrudisha.
Akili yake tu.
 
Atabaki lkn sio kwa hadhi ya diplomatic
 
choo.JPG
Pia ifahamike SHIT HOLES wote no Viongozi Wa Africa Na sio Wanaowaongoza!! Hongera TRUMP AFRICAN LEADERS ni Bonge LA ma SHIT HOLES MWANAGU!!??
 
Sasa hapo ndio ataona life la kuishi kwa kubeba box lilivyokuwa gumu.

Si afadhali abebe box na amani yake kuliko aishi ki diplomat na kuletewa hawala nyumbani, na akilakamika au kum confront hawala achwape? Wanaume wa Africa nimewavulia kofia.
 
Si afadhali abebe box na amani yake kuliko aishi ki diplomat na kuletewa hawala nyumbani, na akilakamika au kum confront hawala achwape? Wanaume wa Africa nimewavulia kofia.

Alianzisha ugomvi kwny sherehe ya kibalozi alitegemea nn
 
Na Mseveni atamfuta kazi tu.
Kama angekuwa a.eoa kwa raisi halafu ampige binti raisi atapona
 
Alianzisha ugomvi kwny sherehe ya kibalozi alitegemea nn

Kama alikuwa cheated on na akiuliza mwanaume anakataa halafu hawala anakaribishwa mpaka nyumbani, ulitaka a react vipi?
Yaani awe cheated on, halafu apelekewe hawala mpaka nyumbani?!
Ilikuwa haki yake kuanzisha ugomvi.
 
Back
Top Bottom