Balozi wa Uganda atimuliwa Marekani kwa kuleta Uafrika, Alimtandika mkewe

Washenzi tu, wao mbona wakija huku wanatuvalia vichupi na ushenzi mwingine na tunawaacha? tunajua wanatuchukia na kuchukia tamaduni zetu na sie hatuzitaki za kwao. Wanaume wa kizungu ni mashoga wa hovyo, kutwa wanapigwa vibao na wake zao. Ndo wanataka na sie tuwe hivyo, eti nipike huku mwanamke akilemba kucha? Impossible!
 
Hili la kupiga mwanamke halikubaliki huko Marekani na kokote duniani. Tujitahidi sana kujizuia, maana kumpiga unamwonea.
 
Jamaa aliandaa Misa ya Shukran kwenye Makazi yake Washington, Mmoja wa wahudhuriaji wa Missa hiyo alikuwa Hawara yake ambae Huyo Mama alikuwa anamjua na alipomuona Yule Hawara akamtambua na akalianzisha kwa Mumewe mbele ya wageni

Baada ya Misa kwisha Yule Mwanaume ukabidi amtembezee kisago cha Mwana ukome Yule Mkewe ili awe na adabu Siku nyingine
Hongera kwa balozi kukinda mila,huo ni ushujaa sio aibu
 
Hili la kupiga mwanamke halikubaliki huko Marekani na kokote duniani. Tujitahidi sana kujizuia, maana kumpiga unamwonea.
Waafrika wamezidiwa hata na wanyama wa mwituni , hakuna mnyama anayepiga demu wake .
 
Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani imemtimua balozi mdogo wa Uganda nchini humo kutokana na ugomvi wa kifamilia uliosababisha ampige mke wake , mangumi na mateke .

Chanzo - Mwananchi

Mytake - Mnapoenda kwenye nchi za watu mambo yenu ya kishamba yaacheni hukohuko kwenu , nchi za watu hata hirizi ya kiunoni ni lazima uivue kwanza ndio uende .
Malafyale fiki? Heri ya mwaka mpya kwahyo unakubali kwamba mwanamke akupande kichwani kisa tu wazungu?

Abhasungu bhatonangile ikisu kyetu
 
Malafyale fiki? Heri ya mwaka mpya kwahyo unakubali kwamba mwanamke akupande kichwani kisa tu wazungu?

Abhasungu bhatonangile ikisu kyetu
Abhakikulu bikolondikwa ukupyelesigwa , ubhu kurya bwenu musyalege nabho kumyinu kukuko.

Wazungu wanaheshimu sana utu wa mwanamke , japo manunda wapo pia .
 
Hao ndio aina ya viongozi wa kiafrika. Mkiitwa shit-hole mnanuna wakati matendo yenu yana-prove ninyi ni shit-holes kweli.
Useme"sisi ni shithole countries. Sio ninyi. Samahani kama wewe ni mzungu wa Marekani au Ulaya n.k.
 
Nilikuwa na kijisafari changu cha kibiashara huko Maryland , nafikiria niende au niache , naona aibu sana !
Raia wakikuuliza unatokea wapi waambie .I'm coming from the shithole country names as Tanzania(samahani kwa kiingereza kibovu) Ukuwajibu hivyo mwenye akili atakuelewa.
Usivunje safari, nenda tu.
 
Back
Top Bottom