Balozi wa Saudia Atuhumiwa kubaka

Balozi wa Saudia Atuhumiwa kubaka

Mbona muda tu kaka Hawa jamaa wana idhaa ya kiswahili.
UK wanayo
Usa wanayo
Saudia wanayo
China wanayo
Ujerumani wm

Mbona IPO muda mrefu mie nilianza kuisikiliza 2001 Sasa sijui ilianzishwa lini!
Uingereza wanaiyo idhaa ya kiswahili
Marekani wanayo
Ujerumani wanayo
Uchina wanayo
Saudia wanayo
Iran wanayo
Sijajua kuhusu mataifa mengine,kiswahili kinaeleweka sana ila sie waswahili hatujielewi.
Nalog off
😛
😀😀😀😀 Ni kweli hatujielewi, kila kitu tuko nyuma tu
 
Ni kawaida kwa warabu. Uliza madada wanaoenda huko kufanya kazi za ndani.

Kubakwa, kuwawa na kutolipwa mishahara ni kawaida sana
 
Kabaka na kuua ajashtakiwa ila kaambiwa aondoke ndani ya saa 48 ndio nini sasa?

Mi mwenyewe ndio nimechoka kabisa,hizo sheria za kidiplomasia lazima ziwe reviewed,haiwezekani mtu abake,aue halafu eti anafukuzwa nchini tu bila kuchukuliwa hatua za kisheria za kimahakama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom