Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

bilashaka balozi atakua amempa pole na amemshauri apunguze kilevi na kuacha ngono na wake za waamini wake. afocus kwenye kuhubiri neno la Mungu, siasa zinamchanganya 🐒
No REFORMS, no election.
 
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu.

View attachment 3358818
Mungu Wabariki Wazungu
 
Chadema ikitwaa nchi iangalie kama kuna haja ya kuwa na uhusiano na nchi duni za kiafrica
 
Je hawa maofisa nao watatimuliwa kama kina Martha Karua, Boniface Mwangi, Agather Atuhaire au kwa kuwa wametoka nchi za kibeberu na siyo nchi za Afrika hivyo serikali ya CCM haitatoa tamko au kuwapiga persona non grata kwa sababu ya kuingilia sovereignty ya nchi ?

In diplomacy, a persona non grata (PNG) is a foreign diplomat that is asked by the host country to be recalled to their home country
 
CCM chama pinzani cha uhai wa watu, kwa nini wanamwacha huyo?

No reforms no election
 
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu.

View attachment 3358818
Pole sana father

ILA ukweli unahitajika

Je father alipigwa kisiasa?
 
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu.

View attachment 3358818

​

06 June 2025
Dar es Salaam, Tanzania

US condemns violence in Tanzania after attack on Catholic bishop​

1749298585247.png

By Arnold Ngure, June 6, 2025
The United States of America (USA) has continued to condemn the surging reports of violence in Tanzania ahead of the country’s general elections slated for October 2025.

In a statement on Friday, June 6, 2025, the Chargé d’Affaires (CdA) in the US embassy in Tanzania, Andrew Lentz, condemned the violence that had been meted out on Catholic Bishop Father Charles Kitima.


“CdA Lentz recently met with Father Charles Kitima as he continues his recovery from the brutal attack on his life last month,” Lentz said.

“We reiterate our condemnation of all acts of violence, especially those that attempt to silence calls for justice, reconciliation, and human rights.”

Government critic​

According to the police, Kitima, who is a government critic, was hit by a blunt object on his head and left for dead before being rescued and taken to the hospital in early May 2025.

Tanzania
A screenshot of the US Embassy in Tanzania’s statement on the attack on Father Kitima. PHOTO/@usembassytz/X


The attack on Kitima, who is also the secretary-general of the Tanzania Episcopal Conference (TEC), drew widespread criticism from various quarters in the country, with Tanganyika Law Society TLS president Boniface Mwabukusi calling it a brutal attack with the intent to take away the bishop’s life.

Mwabukusi equally called out the state for the disappearances of individuals deemed to be critics of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) government led by President Samia Suluhu Hassan.

Abductions​

“The issue of abductions is real, and the fact that leaders are not taking adequate action to end these abductions is clear,” he said.

“That abductors are more protected than citizens is indisputable, as to this day, hundreds of Wa-Tanganyika continue to disappear and be abducted, yet not a single abductor has been shaken.”

The US Embassy equally called for speedy investigations into the matter, calling for justice and transparency.

“Following the shocking and brutal attack against Father Charles Kitima, we join Tanzanians across the political spectrum in praying for his full recovery and condemning all acts of violence, especially those that aim to silence calls for justice, reconciliation, and human rights. We hope Tanzania takes advantage of this moment to seek justice through a quick, transparent investigation,” the US embassy said on May 2, 2025.

Following the shocking and brutal attack against Father Charles Kitima, we join Tanzanians across the political spectrum in praying for his full recovery and condemning all acts of violence, especially those that aim to silence calls for justice, reconciliation, and human rights.… pic.twitter.com/4lyBddUgG1
— US Embassy Tanzania (@usembassytz) May 2, 2025
The development comes just days after two activists from Kenya and Uganda were detained and deported from Tanzania, where they had gone to attend a treason case of Tanzania’s main opposition leader, Tundu Lissu.

Boniface Mwangi and Agather Atuhaire of Uganda revealed harrowing experiences of torture and abuse of human rights at the hands of people believed to be police officers of Tanzania, who ejected them from their hotel rooms before detaining them for days
 
We must read between the lines. Padri Kitima ni mbatizwa, ni wa Papa Leo XIV. Hawa ni watu wa Trump, Trump alitutukana Waafrika juzi kes kumdhalilisha Rais Ramaphosa kutetea makaburu. Papa Leo hamtaki Trump kabisa kabisa, alimfukuzulia mbali Makamo wake Vance. Tijiulize: Fr Kitima yuko upande wa nani? Huyu si ndiyo alimtukana Rais kwamba kauza bandari kwa Waarabu watavunja Kanisa la St Joseph? Kitima na Tundu ni makafa wa CHADEMA, wanampinga Papa?
 
Jaji Maraka wewekabila gani kwanza? Lazima tujue, Kenya ndivyo walivyo. Maraga aliweka rekodi ya kufuta matokeo kwa mbwembwe tu kukamilisha Ukabila (Raila ni Mjaluo, Uhuru ni Gikuyu, Maraga ni Mluhya) - ni mbwembwe kwa vile Raila alikataa kurudis walikuwa wamekubaliana. Baada ya Maraga kustaafu akawekwa Martha Koome, naye ni Mluhya ni cheo cha Waluhya. Kenya wana Lawyer Mjaluo jina lake Miguva Miguna naye alikuwa na kesi na Serkali. Ingekuwaje kama Jaji Nyalali au Jaji Warioba eti aende Kenya kuonyedha mshikamano na Miguna Miguna? Tusikubali kuyumbishwa.
 
Back
Top Bottom