Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,241
Reaction score
138,764
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu.

IMG_5089.jpeg
 
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu
ibirisi wa ccm wakiona hivi vichwa huwauma sana
 
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu
Elimu Mdogo husababisha mtu kukosa mbinu Bora za uongozi na kuamini rushwa na ubabe ndio njia zifaazo. Hivyo Mwaka huu angalia uwezo wa mgombea iwe wa sisiemu au Vyama mbadala
 
Wakijaribu hilo, ni ku ruin international relation na US, unamtimua sababu kakemea utekaji?

Retaliation ya US, kwa huyu rais walienae sasa inaweza isiwe nzuri kwa tz
Kwa mtindo ulipofikia wanahisi wakiwa na nchi nyengine sawa sio wanaokemea
 
Kwa mujibu wa kiwango kibovu Cha uelewa wa lile shumileta linaloziba bichwa lake kiasi kwamba uwezo wake kufikiri umeisha kabisa basi hapo linaamini huyo balozi ni shetani. Ni lilemavu la akili
 
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu
Hivi Marekani kuvamia Iraq na Libya kumbe ilikua sawa
 
Hivi haya machizi ya CCM yalivyo kwa sasa wanajiona wapo na wachina sasa
Hivi hao hao Marekani ndiyo walivamia Libya na kumuua kiongozi wetu mpendwa Mummar Gaddaf?
 
Panaz
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano,
Panazidi kuchangamka
 
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu.

View attachment 3358818
bilashaka balozi atakua amempa pole na amemshauri apunguze kilevi na kuacha ngono na wake za waamini wake. afocus kwenye kuhubiri neno la Mungu, siasa zinamchanganya 🐒
 
Hivi hao hao Marekani ndiyo walivamia Libya na kumuua kiongozi wetu mpendwa Mummar Gaddaf?
Ungekuwa unaishi Libya usingekuwa unakurupukia mada.
Rudi ukasome ushenzi wa gaddaf alafu tuje kwenye mada
 
Kuna taarifa kutimua balozi kwa mtindo huu ccm unapoelekea
umtimue balozi wa marekani si utajitakia makubwa? Wana rais wao muongeaji, anaweza akaongea shombo kuhusu tanzania tukaishia kucheka kwa dharau zake. Usicheze na balozi wa marekani
 
Kweli ,washukuriwe madaktari ,mwamba huyu arudi kazini misumari iendelee kuingizwa ccm
 
Wengine wanakula wake za watu, na ndio yanawakuta
 
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga kunyamazisha sauti za haki, maridhiano, na haki za binadamu.

View attachment 3358818

ila huyo demu dadeki bonge la figa, hivi kwa nini mademu wa kibongo hawanaga shepu kali kama hizo? unakuta demu bongo kabinuuka nyuma mbele nako tumbo limefura, kiuno hakionekani …
 
Back
Top Bottom