Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

Old school and double standard.
Waziri Mkuu Majaliwa alienda Kwa balozi wa China na kupokea misaada ya kinga ya COVID-1. huyo ni mtu mdogo?

Banana Republic is Banana Republic full stop. You cannot compare on earth this Banana Republic and US of America! The lone Super Power.
 
Lakini sio kwenye Kiingereza 😄
wewe umewahi andika paper yoyote ambayo hata wazungu wanaitumia?

Ona wazungu wanavyo cite paper ya Magufuli. Nawewe tunaomba tuone walipo ku cite.
 

Attachments

  • Screenshot_20201015_225433.jpg
    134.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201015_223319.jpg
    155.1 KB · Views: 1
Chadema hawana ofisi yenye hadhi kuweza kuhost wageni kwa level za kimataifa,

Wanakauchochoro kao ambako hawataki mtu awatembelee,

Ndio maana Lisu akakimbilia Balozi aliko.
 
Huyo balozi kajitambulisha mwezi wa tisa na wameongea na Rais, sasa unataka aongee nini tena na Rais, pengine anahitaji mambo ya chama.
Hivyo katibu mkuu anatosha kuongea mambo ya chama.
Hahaha hakuongea naye, alimpa makaratasi akaondoka.
Magufuli angeongea naye kwa lugha gani?!
Your excellency I am preaching but you are not reachable!
 
Katibu mkuu bwana bashiru anatusaliti watanzania kwa kukutana na huyu beberu. Magufuli amwangalie sana huyu bashiru anaweza akauza chama chetu kwa mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha your excellency I am preaching to you but you are not reachable!

Kande na maziwa, mwenyeketi wa ccm taifa aende, Magufuli ni mgombea wa kiti cha urais.

Sijui wewe una elimu gani au we ndiye Gwajima?!

Mnauliza elimu sijui hata kama mnaelewa elimu ni nini, au hizi PhD tunazopeana hapa?!
 
Hahaha Magufuli ana kimbia, huu ni muda wa kampeni yeye ndiye mgombea alipaswa aonekane huko.

ITV aliongea Bashiru, kwa balozi anaenda Bashiru yeye anaogopa nini?!

Kwanini asiende Polepole ndiye msemaji wa ccm?!
Zimebaki week mbil tu kampeni

Magufuli ana mpango gani na mikoa ambayo hajaenda ambayo ni mingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie Bavicha ACHENI kupotosha Rais alisema hivi...Mr President I am trying to Preach but I can not Reach You..nafikiri alimaanisha Mh.Rais najaribu kuongea /kuhutubia kwa Kiddhungu lakini sikufikii wewe!
Hahaha unafikiri alimaanisha hivyo au ndio ilikuwa maana yake?!

Your excellency I am preaching to you but you are not reachable!

Hahaha eti Doctor naye?!
 
Safi kabisa Balozi amemfuata Bashiru alipo, ila yule kibaraka yeye ataenda nyumbani kwa balozi.

Unaona tofauti sasa
Alianza wa NCCR akafuatia Maalim halafu Tundu kwenda kwa balozi kwa mwaliko. Ni kibaraka gani kati ya hao unayemsema? Think!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…