Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

Hawa wanawaita mabeberu hawapindishi mambo lazima walipewa za uso hawa wana CCM Mpya ndiyo maana mpaka sasa ofisi ya Katibu Mkuu CCM au ile ya Ideology na Uenezi ya Humphrey Polepole hawajatoa taarifa kwa umma mazungumzo hayo yalikuwa yamegusia masuala gani.
Kwako johnthebaptist.
Kama zamani tungeziba maskio
 
Cdm wapuuzi sana. Unakwamisha miradi ya kusaidia wananchi kwa kigezo kuwa itaipa sifa JPM na CCM. Mwaka 2015 walimtoa DR Slaa ili wale fedha za EL. Hawa si wahuni tu wa kawaida khalafu iko mijitu inahangaika na Lissu, inakera wakati mwengine.
Hehehee haters mtakoma mwaka huu
 
Ndio mnavyodanganya watu? Mara Lissu kawekewa chuma maalumu cha kunasa mawasiliano.

Hao CIA mbona hatuwaoni huku Segese Tambalale.
Unafikiri lazima ajimwambafai
Duh...sijui umefika darasa la ngapi wewe...hiyo ni shida kwa hakika uelewa wa mambo na hata elimu yako...mtu unaweza ukawa huna elimu lakini ukawa na uelewa wa issues, busara na hekima...wewe umekosa vyote...hu
na elimu...huna uelewa wa mambo...huna busara...huna hekima....

Magufuli ni Rais wa nchi, ni Head of state...na commander in chief of the armed forces...Rais Magufuli hawezi kwenda kwa Balozi...ila Balozi ndiye inabidi aombe Kama anataka kumuona na apangiwe muda...Balozi ataomba aonane na mtu mwingine akitaka...na Sasa ameomba akutane na Dk. Bashiru na amempa muda wa kuongea naye...

Usimchukulie Rais kuwa sawa na Lissu wenu...wako tofauti kabisa...usimchukulie Magufuli kuwa sawa na Balozi wa nyumba kumi...

Kuandika hapa kuwa eti Magufuli anakimbia ni kielelezo Cha uwezo wako mdogo na wa chini kabisa kuhusu uelewa wa issues mbalimbali...
Huyo anatumia pumzi na huyu mwingine anatunia Nini, binadamu wote ni sawa. Mengine ni matabaka tu kutokana na mazingira Fulani tu na hayo hayafai kuwa sababu ya kubaguana.
 
Huyu Bushiri vipi mbona anakutana na beberu .. ? au anataka kumuuzia madini yote yaliyobakia?
 
Ila CDM wanatakiwa watafute hela za kulipa mawakala vizuri kwa namna yeyote
Yaani game lote linaishaga kwenye kuandika matokeo kwenye zile paper. CCM hawana pressure kabisa na hizo nyomi za LISSU. Wao wanaandaa pesa na wanajua watazitumiaje
 
Hahaha Magufuli ana kimbia, huu ni muda wa kampeni yeye ndiye mgombea alipaswa aonekane huko.

ITV aliongea Bashiru, kwa balozi anaenda Bashiru yeye anaogopa nini?!

Kwanini asiende Polepole ndiye msemaji wa ccm?!
Huyo balozi kajitambulisha mwezi wa tisa na wameongea na Rais, sasa unataka aongee nini tena na Rais, pengine anahitaji mambo ya chama.
Hivyo katibu mkuu anatosha kuongea mambo ya chama.
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vipi si mlisema JPM alikufa? Mlimfufua nyie? Huyo taahira wenu siku zake zimeisha. Subirini aibu yenu tarehe 29. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom