Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm.

Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa.

Source Watetezi tv

Maendeleo hayana vyama!
Vipi Bashiru ameongea nini na Bashiru?
Je muuza ndizi ameongea kingereza au ameshindwa kuongea kama boss wao?
 
Hahaha Magufuli ana kimbia, huu ni muda wa kampeni yeye ndiye mgombea alipaswa aonekane huko.

ITV aliongea Bashiru, kwa balozi anaenda Bashiru yeye anaogopa nini?!

Kwanini asiende Polepole ndiye msemaji wa ccm?!
Acha kumfananisha rais na vitu vya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…