Salaam!
Kwa andiko ulilloandika Jana Mh Polepole, ni dhahiri kuwa, watanzania tumekusamehe madhambi yako yote ikiwamo Ile ya kuturingushia v8 tulliyokununulia kwa pesa zetu.
Baada ya Mh Gwajima,Mpina,Padre Kitima,Lissu, sasa ni zamu yako ndugu Pole Pole, ujasiri huu ni mkubwa,tunakupongeza.
Ishara ya kusamehewa makosa yako, ni hizi kauli za viongozi wa Kila upande akiwamo Nabii Lema kuungana nawe Katika kuchukua msimamo na hatua hii muhimu kwa wakati sahihi.
Sasa kwa kuwa, umesamehewa DHAMBI zako, jisamehe na wewe, usijihukumu na kuzikumbuka.
Tembea Kifua Mbele ndugu mzalendo Pole Pole.
Mungu Mbariki Ndugu Pole Pole.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Mungu ibariki operation ya NRNE 💪 🔥
Karibuni 🙏