Dabaga1998
JF-Expert Member
- Apr 10, 2016
- 994
- 502
Jamani kweli kiingerezxa na Kiswahili anakijua lakini simzxalendo na wala hana uchungu kama MAGU.Rais ni magufuli mpaka 2025
Jamani kweli kiingerezxa na Kiswahili anakijua lakini simzxalendo na wala hana uchungu kama MAGU.Rais ni magufuli mpaka 2025
maendeleo ya UFISADI kwaninin walimkamua jipu? Kweli watanzania tuna safari ndefu sana. HUYU BWANA SASA SIASA BASI ESPECIALLY URAISI WA NCHI YA TANZANIA.Nachukua fursa hii kumpongeza balozi kwa kutajwa huku. Haya ndo maendeleo tunayoyataka
I HOPE AND PRAY THAT YOUR WISH WILL NEVER COME TRUE. KWA LIPI HASA AWE JEMADARI WA NCHI YA TANZANIA. hAKUFAA KUWA KATIBU WA RAISI SASA ANAFAA KUWA RAISI.Yupo Mh.....subiri 2020 anaingia mjengoni kiulainiii
Huo mtizamo wako ni muhemuko wa mpito tu, unapita
kama upepo .
Pia kama kiingereza ndicho kigezo cha mtu kuwa Rais
wa nchi , basi watanzania aliyeturoga aliisha kufa siku
nyingi na kaburi lake lilisombwa na maji ya mafuriko ya
mwaka 1998.[/QUOTE
ASANTE SANA KWA MAWAZO YAKO NA KWELI ALIYE TUROGA ALIKUFA BIBI YANGU ALIKUWAGA AKISEMA POLE KUBWA. UDUMA KWA MWAMKO WA MAWAZO MAPEVU.
UZOEFU WA UFISADI NI KWELI. HIVI HUJIULIZI KWA NINI ALITOLEWA UKATIBU MKUU WA RAISI? UKIPATA JIBU TUAMBIE. AU NDIYO ILE KAZI NYINGINE NI URAISI 2020? YETU MACHO NA MASIKIA.Kwa mujibu wa Sijuti sifa za kufaa kuwa rais ni
1. IQ kubwa
2. Uwezo mkubwa wa kuzungumza lugha ya kiingereza
3. Uzoefu na utendaji
Naona unataka Tujute