Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Kama kichwa kinavyosomeka, bila kupepesa macho wala kutikisa masikio huyu mheshimiwa anafaa kuwa Rais kwani IQ yake ni kubwa sana.
Pia anauwezo mkubwa wa kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Uzoefu wake pia na utendaji vinambeba.
Jakaya Kikwete alishauri watu tunaojua wanaweza kutuongoza wakati mwingine ni vema tuwafuate na kuwaomba wagombee, nakuomba Balozi Ombeni Sefue uchukue fomu ya Urais 2020.