izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,465
mkuu ni prince wa bagamoyo mfungwa kamba za viatu? au prince wa united kingdomUmesahau kuwa Prince alisema rais hawezi kutoka kaskazini? Huyu naye ni was huko....
mkuu ni prince wa bagamoyo mfungwa kamba za viatu? au prince wa united kingdomUmesahau kuwa Prince alisema rais hawezi kutoka kaskazini? Huyu naye ni was huko....
Mwisho wa CCM Ni miaka mitano hata mwalimu alisema 2020 upinzani utatwaa dola coz kila siku unapanda kwa kasi.
mkuu ni prince wa bagamoyo mfungwa kamba za viatu? au prince wa united kingdom
Mgombea huru! Ila tuweke unafiki pembeni, asilimia 90 ya waliozaliwa kabla ya uhuru ma miaka angalau 5 baada ya uhuru ni wanachama wa sisiemu, eidha wanachama wafu au hai, ila wana kadi zao! Hii haina ubishi.
Mleta uzi naona location ni Mtwara/Ntwara hapo....
Vipi INATOKA HAITOKI...???
Naungamko hoja agombe 2025 hata wa miaka 5 tu.Kama kichwa kinavyosomeka, bila kupepesa macho wala kutikisa masikio huyu mheshimiwa anafaa kuwa Rais kwani IQ yake ni kubwa sana.
Pia anauwezo mkubwa wa kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Uzoefu wake pia na utendaji vinambeba.
Jakaya Kikwete alishauri watu tunaojua wanaweza kutuongoza wakati mwingine ni vema tuwafuate na kuwaomba wagombee, nakuomba Balozi Ombeni Sefue uchukue fomu ya Urais 2020.
Rais ni magufuli mpaka 2025
Bado msimamo wako ni ule ule?Kama kichwa kinavyosomeka, bila kupepesa macho wala kutikisa masikio huyu mheshimiwa anafaa kuwa Rais kwani IQ yake ni kubwa sana.
Pia anauwezo mkubwa wa kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Uzoefu wake pia na utendaji vinambeba.
Jakaya Kikwete alishauri watu tunaojua wanaweza kutuongoza wakati mwingine ni vema tuwafuate na kuwaomba wagombee, nakuomba Balozi Ombeni Sefue uchukue fomu ya Urais 2020.
limesha tangazwa,mkuuNdio kiwango cha uelewa wa watu wa huko. Walifikia sehemu wakaapa kuwa gesi ni yao wakidhani ni kitu kinaweza kubebeka kwenye sinia wakauze stendi kama wanavyouza korosho. Sijui yuko wapi Marehemu big show, mtu mjinga kupindukia rekodi za ulimwengu.
Huyu Sefue huyu si alikuwepo serikali iliyopita? Mi sitashangaa kama baada ya kutangaza jina la Hosea na la kwake siku moja likaja kutangazwa. Rais aliyepo madarakani haangalii salio, wallah ile ishu ya Jairo ingetokea leo hii mbona tungesikia raha
Kumbe wa kaskzini heew basi riziwani hawezi kubali rais atokee kaskaziniUmesahau kuwa Prince alisema rais hawezi kutoka kaskazini? Huyu naye ni was huko....
Point.....ndo maana hatuendelei kila kitu siasa m, tunawaza siasa muda woooteFanyeni kazi, acheni kuwaza 2020 nani Atakuwa Rais.
SAWA MUUNGWANA TUME KUELEWA ILA MUDA BADO,TUOMBE UZIMA MIAKA MINNE SI HABA.Kama kichwa kinavyosomeka, bila kupepesa macho wala kutikisa masikio huyu mheshimiwa anafaa kuwa Rais kwani IQ yake ni kubwa sana.
Pia anauwezo mkubwa wa kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Uzoefu wake pia na utendaji vinambeba.
Jakaya Kikwete alishauri watu tunaojua wanaweza kutuongoza wakati mwingine ni vema tuwafuate na kuwaomba wagombee, nakuomba Balozi Ombeni Sefue uchukue fomu ya Urais 2020.
MabadilikoHivi Lowassa yupo kweli, naona minyumbu mmekata tamaa kabisa juu yake! Hakuna anayemzungumzia
Swali gani hilo?Bado msimamo wako ni ule ule?
Yupo Mh.....subiri 2020 anaingia mjengoni kiulainiiiHivi Lowassa yupo kweli, naona minyumbu mmekata tamaa kabisa juu yake! Hakuna anayemzungumzia