Balozi Maajar kuwa mjumbe wa bodi Tanesco kuna walakini, tumesahau ya Dowans?

Moja ya Jambo la kushangaza ni kitendo Cha kusahau mara kwa Mara, na hii inapelekea mara nyingi serikali kufanya maamuzi ambayo huligharimu taifa.

Tunaweza kusema labda hizi ni zama mpya, lakini zikiwa na watu walewale tena waliofanya madudu basi shaka na wasiwasi vitazidi kuongezeka. Ni kweli hatuna watu wapya?

Balozi Maajar kateuliwa ujumbe bodi ya Tanesco ila wamesahau yaliyotokea Kati ya Tanesco na Dowans. Ni pengine kwa makusudi au kwa bahati mbaya tu.

Balozi Maajar akiwa mwanasheria kupitia ile kampuni yao ya Sheria ndio alihusika na kushauri serikali kuhusu sheria ya madini.

Hapo hapo kupitia ile kampuni yao(sitaitaja wengi mnaikumbuka tu) akawa wakili wa kampuni za madini.

Akaja kuishauri Benki moja kuwa Dowans ni kampuni inayoaminika wapewe mkopo kufanya kazi na Tanesco.

Baadae akaja kuishauri Tanesco kuvunja mkataba na Dowans kwamba ni kampuni tata.

Kilichofata akalipwa pesa kwenda kuitetea Tanesco na kushindwa.

Kifupi alikuwa akishirikiana na hizo kampuni ku.........Uhuru wa maoni bado sina hakika kama umerudi.

Ila yote haya Mh.Zitto anayajua, nimeshangaa kuona akipongeza uteuzi wa bodi ikiwa anajua Kuna mtu yumo humo na alihusika pakubwa kwenye kesi ya Tanesco na Dowans.

Anyway................ngoja tusubiri.
This is blatant conflict of interest. Period
 
Yaani kila mtu anashangaa, hapa ndio tunaanza kumkumbuka JPM, eehh

Ni sawa hata akina polepole walikua na kikundi chao mmesahau ta Gwajima na clip za kisukuma
 
Mama yenu ndo kwanza anarekebisha ushungi na kuweka kinu kuchoma ubani kazi inaendelea tarbush huku wanja unasubiri.
Endeleeni kudemka ni wivu tu.
 
Yaani kila mtu anashangaa, hapa ndio tunaanza kumkumbuka JPM, eehh
Na bado sasa, mtaona tofauti ya kuwa na kiongozi mkali mwenye vision na kiongozi mzembe ambaye hana vision.

JPM mfuatiliaji, wa sasa anasubiria ripoti ofisini wanamchakaza vilivyo...wafanyakazi hawana maana kabisa ukiwachekea wao wako kimkakati wa kupiga hela.
 
Moja ya Jambo la kushangaza ni kitendo Cha kusahau mara kwa Mara, na hii inapelekea mara nyingi serikali kufanya maamuzi ambayo huligharimu taifa.

Tunaweza kusema labda hizi ni zama mpya, lakini zikiwa na watu walewale tena waliofanya madudu basi shaka na wasiwasi vitazidi kuongezeka. Ni kweli hatuna watu wapya?

Balozi Maajar kateuliwa ujumbe bodi ya Tanesco ila wamesahau yaliyotokea Kati ya Tanesco na Dowans. Ni pengine kwa makusudi au kwa bahati mbaya tu.

Balozi Maajar akiwa mwanasheria kupitia ile kampuni yao ya Sheria ndio alihusika na kushauri serikali kuhusu sheria ya madini.

Hapo hapo kupitia ile kampuni yao(sitaitaja wengi mnaikumbuka tu) akawa wakili wa kampuni za madini.

Akaja kuishauri Benki moja kuwa Dowans ni kampuni inayoaminika wapewe mkopo kufanya kazi na Tanesco.

Baadae akaja kuishauri Tanesco kuvunja mkataba na Dowans kwamba ni kampuni tata.

Kilichofata akalipwa pesa kwenda kuitetea Tanesco na kushindwa.

Kifupi alikuwa akishirikiana na hizo kampuni ku.........Uhuru wa maoni bado sina hakika kama umerudi.

Ila yote haya Mh.Zitto anayajua, nimeshangaa kuona akipongeza uteuzi wa bodi ikiwa anajua Kuna mtu yumo humo na alihusika pakubwa kwenye kesi ya Tanesco na Dowans.

Anyway................ngoja tusubiri.
Tafuta connection ya deals jomba acha kulalamika CCM haina jipya utalalamika mpaka unakufa. Tafuta deal mzee uachane na hizi maneno CCM ni ileile.
 
Moja ya Jambo la kushangaza ni kitendo Cha kusahau mara kwa Mara, na hii inapelekea mara nyingi serikali kufanya maamuzi ambayo huligharimu taifa.

Tunaweza kusema labda hizi ni zama mpya, lakini zikiwa na watu walewale tena waliofanya madudu basi shaka na wasiwasi vitazidi kuongezeka. Ni kweli hatuna watu wapya?

Balozi Maajar kateuliwa ujumbe bodi ya Tanesco ila wamesahau yaliyotokea Kati ya Tanesco na Dowans. Ni pengine kwa makusudi au kwa bahati mbaya tu.

Balozi Maajar akiwa mwanasheria kupitia ile kampuni yao ya Sheria ndio alihusika na kushauri serikali kuhusu sheria ya madini.

Hapo hapo kupitia ile kampuni yao(sitaitaja wengi mnaikumbuka tu) akawa wakili wa kampuni za madini.

Akaja kuishauri Benki moja kuwa Dowans ni kampuni inayoaminika wapewe mkopo kufanya kazi na Tanesco.

Baadae akaja kuishauri Tanesco kuvunja mkataba na Dowans kwamba ni kampuni tata.

Kilichofata akalipwa pesa kwenda kuitetea Tanesco na kushindwa.

Kifupi alikuwa akishirikiana na hizo kampuni ku.........Uhuru wa maoni bado sina hakika kama umerudi.

Ila yote haya Mh.Zitto anayajua, nimeshangaa kuona akipongeza uteuzi wa bodi ikiwa anajua Kuna mtu yumo humo na alihusika pakubwa kwenye kesi ya Tanesco na Dowans.

Anyway................ngoja tusubiri.
Naona hamuisome meseji vizuri,, anachokifanya Samia ni kugeuza mambo yote aliyoanzisha Magu,,Tanesco amewatoa wabobezi wa fani husika toka waziri mpaka bodi na kuwaleta watu watakao andaa mpango mzima wa kuhujumu nchi kupitia Tanesco na mradi wa rufiji umo hatarini ya kuwa sehemu ya upigaji,,Samia anawarudisha wapigaji wote hadi wale wa NHC waliokuwa wanafanya vikao vya bodi Dubai wamo,, Hali ni mbaya msimamisheni Samia mageuzi yake yanairudisha nchi nyuma miaka 8 iliyopita na miradi aliyoianzisha Magu ile ya kimkakati ihesabuni mingi itasimama kama siyo kufa.
 
Moja ya Jambo la kushangaza ni kitendo Cha kusahau mara kwa Mara, na hii inapelekea mara nyingi serikali kufanya maamuzi ambayo huligharimu taifa.

Tunaweza kusema labda hizi ni zama mpya, lakini zikiwa na watu walewale tena waliofanya madudu basi shaka na wasiwasi vitazidi kuongezeka. Ni kweli hatuna watu wapya?

Balozi Maajar kateuliwa ujumbe bodi ya Tanesco ila wamesahau yaliyotokea Kati ya Tanesco na Dowans. Ni pengine kwa makusudi au kwa bahati mbaya tu.

Balozi Maajar akiwa mwanasheria kupitia ile kampuni yao ya Sheria ndio alihusika na kushauri serikali kuhusu sheria ya madini.

Hapo hapo kupitia ile kampuni yao(sitaitaja wengi mnaikumbuka tu) akawa wakili wa kampuni za madini.

Akaja kuishauri Benki moja kuwa Dowans ni kampuni inayoaminika wapewe mkopo kufanya kazi na Tanesco.

Baadae akaja kuishauri Tanesco kuvunja mkataba na Dowans kwamba ni kampuni tata.

Kilichofata akalipwa pesa kwenda kuitetea Tanesco na kushindwa.

Kifupi alikuwa akishirikiana na hizo kampuni ku.........Uhuru wa maoni bado sina hakika kama umerudi.

Ila yote haya Mh.Zitto anayajua, nimeshangaa kuona akipongeza uteuzi wa bodi ikiwa anajua Kuna mtu yumo humo na alihusika pakubwa kwenye kesi ya Tanesco na Dowans.

Anyway................ngoja tusubiri.
Mchawi mpe Mtoto akukulele mkuuu
 
inakwenda kupotea miaka mingine 10 huku hela zikiwa zimechotwa sana. Hatimaye miaka 70 nchi ikiwa hohe hahe
Hivi zile za Sethi zinarudi lini ?? Na nani atawalipa Standard Chartered Bank Malaysia? Tumbili kama Yuda Iskarioti atakuwa anajililia nyumbani, na Prof Mkweli
 
Back
Top Bottom