Zipo taarifa za chini kwa chini zinazodai kuwa Balozi Juma Mwapachu ana mpango wa kurejea CCM. .
Hata huku UKAWA hatuoni impact yake, hivi baada ya kurudisha zile kadi alisema anaenda wapi?Arudi asirudi haongezi value yoyote CCM.Walitutelekezea CCM vitani yeye na akina kingunge na akina Sumaye tumepigana wenyewe tumeshinda.Sasa ni HAPA KAZI TU.Atajijua yeye na wenzie waliotusaliti na kusaliti CCM kwenye vita ya uchaguzi.
Hizo tetesi ni za kweli japo sioni impact yake UKAWA wala huko CCM yaani huyu mheshimiwa maarufu huko wanabidii zaidi ya hapo ni kama mimi tu hatuna umaarufuHaki yake kikatiba, ila sidhani kama kuna ukweli wowote katika hilo
Mbona wa kule Arusha mmewapokea kwa mara nyingine tena na hata Wasira alipo rudi mlipongeza kwa uamuzi huoAmesahau nini?
Wazee walipiga hesabu Vibaya. Maigizo ya Mafuriko yaliwachanganya wakajua Chama kimeanguka wakawahi Uchagani siti za Mbele wawe ndio wazee wa Serikali Mpya kumbe Wamechanganya Madesa. Kingunge hataki hata tujue yupo wapi kwa sasa