Niliwah kukaa naye na kumsikiliza mawazo yake, kwa hakika alikuwa na matamanio ya kuiona Tanzania iliyo na wananchi matajiri. 😞 R.I.P mzalendo wa kweli. Daima tutakukumbuka na kuyaenzi mema yote uliyoyatenda wakati wa uhai wako.
Mojawapo ya mema yako nnayoyakumbuka ni pale ulipojitolea kusomesha na kutoa mitaji kwa vijana zaidi ya 1000 wa kitanzania. Pumzika shujaa wetu.