TANZIA Balozi Juma Mwapachu afariki Dunia

Mshua alikuwa akija nyumbani akikalia kochi, akiondoka siku nzima kochi linanukia cologne yake.

Akikukuta unasoma Newsweek anakwambia "You get the most from The Economist, not Newsweek or Time Magazine..."
Nilipata kumjua mama yao mzazi....nikiwa mdogo kabisa naye alikuwa ni kikongwe haswa na mwenye kujipenda mno...alikuwa ni half- caste wa kijerumani....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…