Uchaguzi 2020 Balozi Adadi Rajabu tafuta chama (CHADEMA au ACT Wazalendo) uendelee na ubunge wako

Siasa za Muheza zimegawanyika sana. Wazee wazawa na Waarabu ambao ndiyo wafanya biashara wengi ni CCM na ACT.

Wapemba hawa ni wafanya biashara wa bidhaa za umeme TV nk, pamoja na maduka ya kawaida, hawa ni ACT damu.

Wafanyabisshara wa vyakula ambao wengi ni wahamiaji, wapo Wachaga hawa wengi biashara yao ni baa na hoteli, Wapare hawa biashara zote, hata nguo, na vyombo vya ndani. Wasambaa wa Lushoto hawa ni wauzaji wa mchele, viazi, maharage nyanya Hawa nwote ni Chadema damu.

Kuna Wasambaa wa Amani na Magoroto hawa ni walimaji wa viungo kama iliki, mdalasini, pilipili manga, hawa ni Chadema damu.

CCM ina nguvu kule ambako umasikini umetamalaki.
 
Sijui ACT Muheza ikoje, ila CDM I guess could be the right choice. Lakini vyovyote, anabebwa na Jina lake na wala siyo chama! Hivyo popote atakapo kwenda atapita kwenye lami to Mjengoni!
Aende kwenye chama ambacho tayari kina mtaji bahati nzuri CHADEMA wanamgombea mwanamama Muheza hivyo ni rahisi kufanya conciliation mama akabaki kwenye viti maalumu ambako alishinda pia.
 
Msimchuuze mwenzenu Tanga upinzani bado. Pia Adadi ameshika nyadhifa nyingi nyeti pamoja na ubalozi kwa hiyo kwa vyovyote atapatiwa nafasinyingine mda wowote,hata Kama atakuwa hajapatiwa nafasi nyingine yoyote bado anayo Hela ya mboga ataishi vizuri tu ,uzuri sisi watu watanga hasa Wadigo huwa hatuna Tamamaa chidide Ni chehuuu' yaani kidogo Ni cheti.
Hapana, hakuna anyemchuuza. Adadi ni Muheza na Muheza ni Adadi! Ubunge wake uko pale pale! Achana na mambo ya vyeo alivypata, mbona aliviacha akja kugombea Ubunge? Muheza siyoWadigo, wadigo ni Tanga!
Kwahiyo mnataka kurudia makosa ya akina Dr Mollel na Cecil Mwambe?!
Aje, aachangie chama miaka 5, akiondoka basi! who cares! Chama ni watu, hii ni train wanapanda wanashuka ili mradi dereva awe mwaminifu chombo kisiende mrama. ....Dereva ni Mbowe/Lisu/ Lema/Mnyika/ Kigaila/Mdee etc etc etc (na wengine wafia chama, kufa na kuzika yupo! Nafasi hizo haruhusiwi mtu! DEREVA!
 
Tunataka kiti kiende upinzani kwa vile Adad ana ushawishi mkubwa usivyotegemea! najua huji Muheza iko wapi in terms of Adad command! Chadema itakuwa kubahatisha maana haina nguvu sana ki hivyo!
ACT imepata wapi nguvu Muheza?
 
Tunataka kiti kiende upinzani kwa vile Adad ana ushawishi mkubwa usivyotegemea! najua huji Muheza iko wapi in terms of Adad command! CDM itakuwa kubahatisha maana haina nguvu sana ki hivyo!
2015 chadema walisimamisha Mgombea pia.
 
Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT ujinyakulie ubunge kiulaini!
Huo ndio upuuzi wa vyama vya upinzani, hawa wanaokuja kipindi hiki baada ya kukatwa huwa ni ulafi tu wa madaraka, akishapata muda ukifika tayari anarudi tena huko, waacheni tu wafia vyama, kuliko kuchukua hayo makapi, kumpa huyo nafasi agombee kwake ni faida sana ila kwa chama faida ni ndogo. Na hata mkimpokea akashindwa utasikia anarudi tena huko alikotoka, si upuuzi huo!!
 
Balozi Adadi, wananchi wa muheza wanakupenda,wanakujali,unawapenda. Tutakao kupigia Kura ni sisi wananchi wa muheza na sio CCM.utatuongoza sisi wa muheza na sio CCM.chukua fomu ya chama chochote sisi na wewe,wewe na sisi.
Mbona lijuwakali hamshauri
 
Huo ndio upuuzi wa vyama vya upinzani, hawa wanaokuja kipindi hiki baada ya kukatwa huwa ni ulafi tu wa madaraka, akishapata muda ukifika tayari anarudi tena huko, waacheni tu wafia vyama, kuliko kuchukua hayo makapi, kumpa huyo nafasi agombee kwake ni faida sana ila kwa chama faida ni ndogo. Na hata mkimpokea akashindwa utasikia anarudi tena huko alikotoka, si upuuzi huo!!
Uko sahihi! Lakini chama ni watu. acha aje achangie chama mika 5, ikiisha akiondoka, let him go! who cares? Kama alivyosema Mbowe, chama ni watu! Train wanapanda na kushuka.

Unadhani CCM ikiondoka madarakani watu hawatakihama? Hata walio CCM ni ulafi wa madaraka kwa vile kuna mgawa vyeo! Think big!
 
Nafasi ya pili... margin ya kura ilikuwa kubwa... Adad 567 Vs 260???? (kitu kama hicho). Wakati Lisu alipopigwa risasi, alikemea sana bungeni kuonyesha kutopenda kupigwa risasi na ripoti yake haikufanyiwa kazi baada ya kunyofoa. Jiwe hakupenda!
Ukweli ule ndio umewasababisha kumkata. Yaani uhusika wa jiwe na ccm katika shambulio LA Lissu uko wazi kutokana na wanavyo shughulikiwa wale wote walio onyesha kuchukizwa na tukio lile.
 
Hapana, hakuna anyemchuuza. Adadi ni Muheza na Muheza ni Adadi! Ubunge wake uko pale pale! Achana na mambo ya vyeo alivypata, mbona aliviacha akja kugombea Ubunge? Muheza siyoWadigo, wadigo ni Tanga!..
2015 Adadi alipata ushindani mkali kutoka Chadema, ilibidi atumie nguvu ya ziada kupunguza makali ya Chadema ilipelekea mgombea kujitoa dakika za mwisho.
 
Back
Top Bottom