Uchaguzi 2020 Balozi Adadi Rajabu tafuta chama (CHADEMA au ACT Wazalendo) uendelee na ubunge wako

Nafasi ya pili... margin ya kura ilikuwa kubwa... Adad 567 Vs 260???? (kitu kama hicho). Wakati Lisu alipopigwa risasi, alikemea sana bungeni kuonyesha kutopenda kupigwa risasi na ripoti yake haikufanyiwa kazi baada ya kunyofoa. Jiwe hakupenda!

Du mkuu umbeya
 
Chadema walishapitisha majina ya wagombea kwahiyo hawafanyi usajili wa wagombea xaiv akajiunge na chauma
Chauma ni below his dignity! Lakini Adad anabebwa na jina lake na siyo chama! hata Chauma atapita maana wapiga kura wanamwangalia Adad na si chama
 
2015 Adadi alipata ushindani mkali kutoka Chadema, ilibidi atumie nguvu ya ziada kupunguza makali ya Chadema ilipelekea mgombea kujitoa dakika za mwisho.
CHADEMA muheza wana nguvu sana tu pamoja na ushawishi wa Adadi Rajabu lakini wananguvu Kubwa akihamia CHADEMA anaweza akashinda kwa kura nyingi sana.

Sema shida hawa ccm hawaaminiki hawa tumwache Yosepher Komba akawapaganie wanamuheza.
 
Adadi kwa ajili tu ya Ubunge haimfai kuhama chama, Balozi mzima, DCI mstaafu kuhangaika kisa Ubunge haipendezi
iTAKUWA AIBU YA KARNE, NDIYO MAANA HATAFANYA HIVYO KWA SABABU ADADI NI MUELEWA NA ANAJUA KWA NGAZI YA UTUMISHI ALIYOWAHI KUFIKA KWAKE TANZANIA NI ZAIDI YA SIASA
 
Nafasi ya pili... margin ya kura ilikuwa kubwa... Adad 567 Vs 260???? (kitu kama hicho). Wakati Lisu alipopigwa risasi, alikemea sana bungeni kuonyesha kutopenda kupigwa risasi na ripoti yake haikufanyiwa kazi baada ya kunyofoa. Jiwe hakupenda!
Da! kuna harufu kali ya ushetani kutamalaki tanzania yetu!
 
CHADEMA muheza wana nguvu sana tu pamoja na ushawishi wa Adadi Rajabu lakini wananguvu Kubwa akihamia CHADEMA anaweza akashinda kwa kura nyingi sana.

Sema shida hawa ccm hawaaminiki hawa tumwache Yosepher Komba akawapaganie wanamuheza.
Je Chadema watamuamni Adamu?
Adadi ni mpinzani?
 
Ishu sio hiyo ripoti ya lisu wala magufuli hana chuki na jamaa personal, tatizo jamaa katembeza sana mlungula kwenye kura za maoni mpka kupata hizo kura nawadau wa wengi jimboni hawamkubali jamaa wanasema hana ishu wala ukaribu na wapiga kura wake. Na kuachwa wameachwa wengi tuu sio ishu yeye kuwekwa pembeni.
Gambo je? CCM wote walitembeza rushwa ya ajabu! why only Adad then? Unaijua Muheza? Mzee Meta unamfahamu? R Meta unifahamu?
 
Nafasi ya pili... margin ya kura ilikuwa kubwa... Adad 567 Vs 260???? (kitu kama hicho). Wakati Lisu alipopigwa risasi, alikemea sana bungeni kuonyesha kutopenda kupigwa risasi na ripoti yake haikufanyiwa kazi baada ya kunyofoa. Jiwe hakupenda!
Basi ajiunge na mpigwa risasi mtu wa Mungu
 
Mimi myheza ni kwetu, hilo ni la kweli sana, Adadi akienda chama chochote tena haswa ACT, anachukua jimbo asubuhi na mapema
 
Sijui ACT Muheza ikoje, ila CDM I guess could be the right choice. Lakini vyovyote, anabebwa na Jina lake na wala siyo chama! Hivyo popote atakapo kwenda atapita kwenye lami to Mjengoni!
Kingine ni Intelijensia, DCI kwa miaka mingi, kuna ushauri mbalimbali anaweza kusaidia chama atakachoenda, oia contacts mbalimbali.
 
Atulie tu asiende popote ali mradi hadhira ya Tanzania imetambua kuwa Adadi Rajab amenyooka, alishinda kura za maoni na ni mtu wa watu.

Asilazimishe siasa kwa kuwa JPM ni mtu wa visasi na hapendi kufanya kazi na watu walionyooka. Kama hajakutaka yaweza kukupata yaliyompata Ben Saanane au Azory Gwanda.
 
Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT Wazalendo ujinyakulie ubunge kiulaini!
Tanga kule upinzani kushinda ni ngumu. Wadigo wale hawana upeo wa kupiga kura nje ya CCM. Adadi kama atafanya hivyo basi itabidi afanye kazi kubwa sana.
 
Back
Top Bottom