Mtu wa kazi huyu unadhani unaweza kumfundishaMuheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT Wazalendo ujinyakulie ubunge kiulaini!
Vyama vya upinzani makini vinahofia uzoefu mchafu vilivyowahi kuupata - "Kurudi nyumbani".Sijui ACT Muheza ikoje, ila CDM I guess could be the right choice. Lakini vyovyote, anabebwa na Jina lake na wala siyo chama! Hivyo popote atakapo kwenda atapita kwenye lami to Mjengoni!
Apana ndugu, sisi tuliozaliwa na kukulia Muheza tunapajua sana, Adadi anakubalika sana, chama chetu hapo kimekosea, Adadi ana adhibishwa na uongozi wa bungeni na chamani, amejengewa unafiki mwingi, kwa sababu hakutimiza matakwa yao mengi yaliyokuwa hayaendani na taaluma, nyadhifa, na majukumu aliyokabidhiwa, alishindwa kutimiza yasiyowezekana kimaadili, hizo ndizo sababu ya kuadhibiwa.Kwani yeye ndiye ameumbwa maalum kuwa mbunge wa Mheza. CCM siyo kama hiyo chadema yenu ambayo M/kiti wa chama taifa ni wa kudumu
Kwenda kuendelea kula kodi zetu??Sijui ACT Muheza ikoje, ila CDM I guess could be the right choice. Lakini vyovyote, anabebwa na Jina lake na wala siyo chama! Hivyo popote atakapo kwenda atapita kwenye lami to Mjengoni!
2010, wapinzani walishinda tanga mjini na 2015 nafikiri walikuwa na majimbo mawili.Tanga kule upinzani kushinda ni ngumu. Wadigo wale hawana upeo wa kupiga kura nje ya CCM. Adadi kama atafanya hivyo basi itabidi afanye kazi kubwa sana.
Bado najiuliza kuna nini kati ya Balozi na JPM, kwangu mimi namuona ni professional asiye kuwa na wasiwasi. Hivi kweli umpite mtu anaekufuata kwa takribani nusu ya kura halafu uenguliwe? Nini tusichofahamu kuhusu balozi?Apana ndugu, sisi tuliozaliwa na kukulia Muheza tunapajua sana, Adadi anakubalika sana, chama chetu hapo kimekosea, Adadi ana adhibishwa na uongozi wa bungeni na chamani, amejengewa unafiki mwingi, kwa sababu hakutimiza matakwa yao mengi yaliyokuwa hayaendani na taaluma, nyadhifa, na majukumu aliyokabidhiwa, alishindwa kutimiza yasiyowezekana kimaadili, hizo ndizo sababu ya kuadhibiwa.
Mtu anapendwa jomboni kwake, anatimiza wajibu wa kazi zake, mtu hana skendo yoyote, ntu ana tabia nzuri na anaheshimu wakubwa na wadogo, jee sisi twatakaje, mbona twajikwamisha.
ADADI ANAYO HAKI YA KUJISAFISHA NA HII KASHFA ALIYOBAMBIKIZWA NA CHAMA CHAKE, AKIENDA CHAMA KINGINE KUJOSAFISHA NI HAKI YAKE, NA MUHEZA NZIMA INA MUUNGA MKONO.
Yaani my brother. Mimi ndo huwa vita yangu tupate ugombea huru.Yaani hata hizi Rushwa sijui kulipa wajumbe zingepungua. Monopoly ya Rais kuteua anaowataka hata kama kura za maoni wameshindwa ingekuwa useless. Ukikatwa unagombea kama mgombea huru.Kutoruhusu wagombea biafsi kunanyima watu haki zao za kikatiba.
Kuna wengine wanataka kugombea ubunge,vyama vyao vimewakata, na wananchi wanawataka.
Wakati umefika turuhusu wagombea binafsi.
Ndiyo hivyo dada.Yaani my brother. Mimi ndo huwa vita yangu tupate ugombea huru.Yaani hata hizi Rushwa sijui kulipa wajumbe zingepungua. Monopoly ya Rais kuteua anaowataka hata kama kura za maoni wameshindwa ingekuwa useless. Ukikatwa unagombea kama mgombea huru.
Hata sisi tusiokuwa na vyama tungekuwa huru kugombea.
Mchakato wa tume huru ya uchaguzi, mgombea binafsi wanaoupinga ni wanaccm wenyewe lakini waathirika wakubwa huwa ni wao wenyewe hasa linapokuja suala la kutafuta fursa za uongozi.Yaani my brother. Mimi ndo huwa vita yangu tupate ugombea huru.Yaani hata hizi Rushwa sijui kulipa wajumbe zingepungua. Monopoly ya Rais kuteua anaowataka hata kama kura za maoni wameshindwa ingekuwa useless. Ukikatwa unagombea kama mgombea huru.
Hata sisi tusiokuwa na vyama tungekuwa huru kugombea.
Na hao kina Adadi Rajab wamo katika mfumo huu uliokamdamiza haki. Wametumiwa sana na serikali na CCM kukandamiza haki. Wakifikiri watakuwa juu tu kila siku.Mchakato wa tume huru ya uchaguzi, mgombea binafsi wanaoupinga ni wanaccm wenyewe lakini waathirika wakubwa huwa ni wao wenyewe hasa linapokuja suala la kutafuta fursa za uongozi.
Tungekuwa na tume huru ya uchaguzi hata vyama vingine vingeweza kupata candidates wazuri tu ambao wanaprofile kubwa huko kwenye public sector lakini kwa mfumo wetu hawawezi kurisk maisha yao na uhai wao kwenda vyama vya upinzani.
Kama tungekuwa na tume huru ya uchaguzi na katiba inayoruhusu mgombea binafsi wananchi wangekuwa na uhuru zaidi wa kuchagua na kuchaguliwa.
Lakini juhudi zote hizo huwa wanazififisha ccm wenyewe wanapokuwa huko chamani kwao kwa kutumia state machineries.
Kama tungekuwa na tume huru ya uchaguzi leo hii yawezekana Lowasa angekuwa rais wa nchi kupitia upinzani lakini fursa kama hiyo hawaitumii wakiwa madarakani huko ccm, wanaona kuwa kudai haki siyo jukumu lao ni la wapinzani tu.
Imagine alivyoonewa Adadi Rajabu, Peter Serukamba, Furaha Dominck, Kebwe Steven Kebwe, na wengine walioongoza kura za maoni halafu wakakatwa na mtu ambaye anaendesha mambo kwa kutegemea ameamkaje.
Wanaccm wanaamini wao ni first class citizens hapa nchini na kwamba kupigania haki ni jukumu la second class citizens yakishawakuta yakuwakuta ndiyo akili zinawarudia.
Leo hii wanataka Magufuli aongezewe muda wamesahau kuwa na wao wanaweza uhitaji urais huko baadae watafanyaje mpaka afe ndiyo wapate hiyo fursa tena ???
Hawa hawaachwagi; nafasi ziko nyingi hata kuwa kwenye Bodi za Wakurugenzi wa Mashirika ya Umma nako ni ulaji tuu.Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT Wazalendo ujinyakulie ubunge kiulaini!
Sijui ACT Muheza ikoje, ila CDM I guess could be the right choice. Lakini vyovyote, anabebwa na Jina lake na wala siyo chama! Hivyo popote atakapo kwenda atapita kwenye lami to Mjengoni!