Uchaguzi 2020 Balozi Adadi Rajabu tafuta chama (CHADEMA au ACT Wazalendo) uendelee na ubunge wako

Mbona ameshakujibu? Ina maana umeshindwa kuelewa anachomaanisha kwamba pale Muheza pamoja na Chadema kuweka mgombea lakini si mgombea wala Chadema wenye nguvu au ushawishi na hivyo Chadema wanahitaji mtu mwenye vyote, nguvu na ushawishi.
Nilimjibu na kutoa maelezo, sasa maelezo yamemmaliza nguvu!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naunga mkono hoja. Kama anapitia humu afanye hivi. Anaendelea vizuri na ubunge wake.
 
Sasa kwanini unamdharau?!
Simdharau, ushawishi wake hauingii kwa Adadi kama kutaka kiti kiende upinzani asubuhi na mapema! Muheza na Adad ni kama wewe na Jiwe. kama usivyoambiwa chochote kuhusu Jiwe na Muheza hivyo hivyo kwa Adad
 
Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT ujinyakulie ubunge kiulaini!
Msimchuuze mwenzenu Tanga upinzani bado. Pia Adadi ameshika nyadhifa nyingi nyeti pamoja na ubalozi kwa hiyo kwa vyovyote atapatiwa nafasinyingine mda wowote.

Hata Kama atakuwa hajapatiwa nafasi nyingine yoyote bado anayo Hela ya mboga ataishi vizuri tu ,uzuri sisi watu watanga hasa Wadigo huwa hatuna Tamamaa chidide Ni chehuuu' yaani kidogo Ni cheti.
 
Back
Top Bottom