Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,681
- 11,123
Kamuulize mama yenu amekuta shilingi ngapi hazina ndio ulete hapa upupu wakoAnd alikuwa anakopa kwa siri as if hiyo hela angelipa kutoka mifukoni mwake, akiwa majukwaani anawatukana mabeberu, Usiku anawapigia simu kuwakopa hela!! Trl 29 kwa miaka 5 ni nyingi sana, and sijui kafanyia nini hiyo hela, maana mamiradi yake yote yapo under 50% ya utekelezaji