Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,162
- 162,591
Akionge katika kipindi cha star tv cha Jicho letu ndani ya habari asubuhi ya leo,mhariri Balile ametoa taarifa ya uongo kuwa wanafunzi wa vyuo vya elimi ya juu wanalipwa sh1800,000 kwa miezi mitatu na ndio maana wanaendesha maisha ya anasa.
Pia ameongeza kuwa kutokana na hela nyingi wanazolipwa wakiwa chuoni husababisha wao kushindwa kuishi pale wanspoanza kazi kwa maana mishahara wanayolipwa inakuwa midogo kulingana na hela wanazolipwa wakiwa vyuoni.Balile ametoa mfano wa UD ambapo amesema ukienda bkock six utakuta wanafunzi wanaishi maisha ya anasa kwa kumiliki vitu kama TV na ipad ambazo amedai wanazitumia kuangalia picha za ngono badala ya kusoma.
Kwanza napenda kumwambia kama hana data bora akae kimya.Mwanafunzi analipwa sh 459,000 kama meals and accomodation allowance ikiwa na malipo kwa kipindi cha miezi miwili tu.Na ada inalipwa chuoni moja kwa moja.Sasa anapodai wanafunzi wanalipwa 1800,000 kwa miezi mitatu hizo taarifa kazitoa wapi?Cha kushangaza anadai eti hata ulaya hawatoi pesa kwa wanafunzi.Sasa hii kauli ina ukweli wowote ule?
Hivi kweli hawa ndio waandishi tunaoweza kuwategema kama taifa?Mwandishi gani mkongwe anakuwa na mawazo haya ya mwaka 47?!
Balile, kwa leo umechemka na umetia aibu waandishi wenzako!