nkowosi
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 568
- 642
kama hujui ki2 usiongee ki2 aliyekwambia 2napewa pesa kama hyo ni nani?1.chuoni ha2kai miez 12 kama hesabuzako zilivyo, it wrong calculation, Meal and accomadation,tsh 1836000/ kwa miezi 8, hapo kuna pango la nyumba, kumalizia ada coz magamba hawatoe 100%,2. Photocopy na kunua vitabu hapo hapo, 3.nauli wakati wa likizo hapo hapo so hakuna anaye fanya asana kwa sababu ya hyo pesa coz haitoshi! Kabisa pole
true joh msamehe ni uelewa mdogo na masuala ya chuo ni kukosa ustaarabu tu angeuliza kwanza na siyo kuongea uongo na sio kila kitu uchangie