Balile amesema waandishi wanaoikosoa serikali ni Vibaraka wa upinde.

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,449
Reaction score
2,496
Kwa mujibu wa Andiko la Boni Yai (EX-MAYOR Ameandika hivo kupitia andiko hili

anaandika Boni Yai

BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..?

MASWALI KUMI (12) KWA BALILE.

1.Balile anawezaje kugeuka kuwa mchomaji wa waandishi wenzake wa Habari..?

2.Balile aliyefundishwa kujifundisha na kukosoa jamii anachukiaje akiona mwandishi anakosa taaluma ya Uandishi wa Habari?

3.Balile anawezaje kumtuhumu mwezie "ushoga" hadharani kwa sababu ametoa maoni yasiyo mpendeza kwa kumuita ni mtu wa "rangi za upinde"?

4.Balile anawezaje kuwaza na kufikiri waandishi wenzie wanaoikosoa Serikali kwa ni mawakala wa mabeberu nje ya nchi?

4.Balile anawezaje kusema "Tutamchunguza" mwandishi mwenzie kama yeye siyo sehemu ya vyombo vya uchunguzi?

5.Balile anawezaje kukasirishwa na mchoro wa Masoud Kipanya unaolenga Kuamsha Media zisitumike na Serikali kama yeye siyo sehemu ya Serikali?

6.Balile anajisikiaje baada ya kutoa Vitisho hadharani kwa Waandishi wenzake wa Habari na kesho yake waandishi wenzake kusimamishwa kazi na kufukuzwa kazi?

7.Balile kama ameweza kutoa maagizo kwa vyombo kusimamisha kazi waandishi wa habari,hawezi pia kutueleza lolote kuhusu waandishi wa habari waliopotea kama akina Azory Gwanda?

8.Balile kazi aliyojipa ya kuchoma wenzie Serikalini ni kwamba analipa fadhila kwa Serikali baada ya kuwa katika misafara ya Rais mara kwa mara huku waandishi wengine wakibaniwa wasisafiri??

9.Balile anawezaje kuwa mmiliki wa chombo cha habari,alafu ategemee kuongoza wahariri wakati ni nafasi mbili zinazopaswa kutenganishwa?

Kimsingi wamiliki wa vyombo vya habari wana umoja wao ambao ni MOAT wanapaswa kuzungumzia masuala ya umiliki, na wahariri kupitia jukwaa lao la TEF wanapaswa kujadili kwenye umoja wao masuala ya uhuru wa uhariri na utendaji kazi wao wa kila siku.

Kwanini wewe Balile umeshikilia kijiti cha umiliki wa chombo cha habari na kuongoza jukwaa la wahariri?

10 Balile wewe ndiye umeshikilia suala la madeni ya vyombo vya habari ambayo yalifika hadi kwa Mheshimiwa Rais.

Na maelekezo yalitolewa ni kwamba vyombo vya habari kulipwa chini ya usimamizi wako ila hadi sasa media hazijalipwa Balile una mpango gani?

Ni kwanini sasa hutetei media zikalipwa fedha zao halali?

Clip anayotuhumiwa Balile Kuongea hayo ni hii
View: https://www.instagram.com/exmayor_bonifacejacob/reel/DMfN7HkCEhg/
 
Siri ya Hao waandishi kufadhiliwa na taasisi za upinde inaanza kufichuka
 
Siku mambo yakigeuka huyo mpuuzi afiche sura yake
Atakuwa amekula pesa nyingi kiasi kwamba akili zimeruka. Tusimlaumu, huenda hata wewe ungekula hicho kitita ungekuwa hivyo.

Mtu umeshakuwa milionea, ujali nini tena? Kwa nini?
 
Makosa kama haya ya waziwazi, yanaonesha kuwepo kwa makosa makubwa ya sirini yanayosababisha matatizo kipindi kama hiki.
 
Attachments

  • IMG20250505225457.jpg
    IMG20250505225457.jpg
    246 KB · Views: 18
Kwa mujibu wa Andiko la Boni Yai (EX-MAYOR Ameandika hivo kupitia andiko hili

anaandika Boni Yai

BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..?

MASWALI KUMI (12) KWA BALILE.

1.Balile anawezaje kugeuka kuwa mchomaji wa waandishi wenzake wa Habari..?

2.Balile aliyefundishwa kujifundisha na kukosoa jamii anachukiaje akiona mwandishi anakosa taaluma ya Uandishi wa Habari?

3.Balile anawezaje kumtuhumu mwezie "ushoga" hadharani kwa sababu ametoa maoni yasiyo mpendeza kwa kumuita ni mtu wa "rangi za upinde"?

4.Balile anawezaje kuwaza na kufikiri waandishi wenzie wanaoikosoa Serikali kwa ni mawakala wa mabeberu nje ya nchi?

4.Balile anawezaje kusema "Tutamchunguza" mwandishi mwenzie kama yeye siyo sehemu ya vyombo vya uchunguzi?

5.Balile anawezaje kukasirishwa na mchoro wa Masoud Kipanya unaolenga Kuamsha Media zisitumike na Serikali kama yeye siyo sehemu ya Serikali?

6.Balile anajisikiaje baada ya kutoa Vitisho hadharani kwa Waandishi wenzake wa Habari na kesho yake waandishi wenzake kusimamishwa kazi na kufukuzwa kazi?

7.Balile kama ameweza kutoa maagizo kwa vyombo kusimamisha kazi waandishi wa habari,hawezi pia kutueleza lolote kuhusu waandishi wa habari waliopotea kama akina Azory Gwanda?

8.Balile kazi aliyojipa ya kuchoma wenzie Serikalini ni kwamba analipa fadhila kwa Serikali baada ya kuwa katika misafara ya Rais mara kwa mara huku waandishi wengine wakibaniwa wasisafiri??

9.Balile anawezaje kuwa mmiliki wa chombo cha habari,alafu ategemee kuongoza wahariri wakati ni nafasi mbili zinazopaswa kutenganishwa?

Kimsingi wamiliki wa vyombo vya habari wana umoja wao ambao ni MOAT wanapaswa kuzungumzia masuala ya umiliki, na wahariri kupitia jukwaa lao la TEF wanapaswa kujadili kwenye umoja wao masuala ya uhuru wa uhariri na utendaji kazi wao wa kila siku.

Kwanini wewe Balile umeshikilia kijiti cha umiliki wa chombo cha habari na kuongoza jukwaa la wahariri?

10 Balile wewe ndiye umeshikilia suala la madeni ya vyombo vya habari ambayo yalifika hadi kwa Mheshimiwa Rais.

Na maelekezo yalitolewa ni kwamba vyombo vya habari kulipwa chini ya usimamizi wako ila hadi sasa media hazijalipwa Balile una mpango gani?

Ni kwanini sasa hutetei media zikalipwa fedha zao halali?

Clip anayotuhumiwa Balile Kuongea hayo ni hii
View: https://www.instagram.com/exmayor_bonifacejacob/reel/DMfN7HkCEhg/

Huyu jamaa aliwekeza sana kipindi kile , kama Lowassa angepata uraisi... Alivyokosa , jamaa alipauka sana, hata hali yake ilikuwa ngumu sana...... Sasa kapata shavu kwa awamu hii, ndio maana anawaona wenzake si kitu ...
 
Balile ni mwandishi wa habari ambae aendekeza pesa na bahasha.

Ni muumini wa kitu chaitwa "chequebook journalism".
 
Hivi huwa mnamwinije huyo chawa na mbeya wa Ndurere?
 
Huyu jamaa aliwekeza sana kipindi kile , kama Lowassa angepata uraisi... Alivyokosa , jamaa alipauka sana, hata hali yake ilikuwa ngumu sana...... Sasa kapata shavu kwa awamu hii, ndio maana anawaona wenzake si kitu ...
Mwaka jana nilimuona anakunya Konyagi ndogo katika Bar moja pale Banana
 
Balile simchukulii kama ni mwanahabari, bali ni chawa mnafiki kupitia habari.

Balile kuwa kiongozi wa wanahabari, inatoa ujumbe mzito sana, kuwa kwenye tasnia hii kuna watu wa namna gani. Fikiria kuwa Balile ndiye wamemwona anafaa kuwa kiongozi wao!!
 
daah
 
Back
Top Bottom