Acha kujivika usimba ww utopolo huchoki tuu?.Ndo maana Simba huwa twakamatishwa
Kwamba wewe ndo unajua kila mwanachama?Acha kujivika usimba ww utopolo huchoki tuu?.
Utopolo huyooooooKwamba wewe ndo unajua kila mwanachama?
Usijimilikishe timu.
Simba ni mbovu
Utopolo huyoooooo
Kwani mayele amefunga goli ngapi dhidi ya MARUMO SHOOTING inayoshuka daraja kule ligi ya bondeni?????Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc
Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?