Moyoni Nikajua hapa tayar kimewaka,
Jana ilkua siku zaKe za hatar, Nikizembea anaweza kunasa mimba huyu. Nifanyie mpango harak wa kumnywesha p2 kijanja kabla ya masaa 72 hayajapita.
Siku hiyo hiyo jumapili usiku nmeenda kwake na p2 mfukoni pamoja na matunda Ili mchakato ufanyike kupitia juice, bahat mbaya kumbe blenda lake kaliazimisha nyumba ya jiran. Akasema usku sn hawezi kumgongea matunda yawekwe kwny friji atatengenza kesho. Nikasema sawa.
Kesho yake jumatatu mchana kanipigia kunitaarifu anaenda Moro kikaz, ila watarud kesho. Nikasema sawa. Jumanne asbh kanipigia anarud, nikamwambia karibu nmekumiss sn na ntakusurpise Kwa mapishi, nielekeze jiran yupi liliko blenda lako. Kweli kanielekeza na kweli juice nmetengeneza. Nmemsubir mpk saa 3 ndo kafika. Kakuta nmempikia kachori za mayai na juice. Kala kafurah na kusifia mapishi, nami kimoyo moyo nikafurashi maana lengo langu tayar limetimia.
Changamoto imekuja ilipofika tarehe 12 mwezi huu,
Nikaona hajaingia period,nikahs kawaida kumiss labda kesho tar 13 ataingia, Nako bila bila sioni dalili za Pedi.
Sasa tar 14 ikabd niombe mechi tufanye
(Sometimes Huwa tukisex sana naitibua anablidi)
Siku hiyo Nmemkamia sana ila Sion hata tone la damu kwny kichwa Wala halalamiki maumivu yyt ya tumbo, ikabd nijipe Tena siku ya kesho nijue ataamka vipi.
Kesho yake tar 15 nmeenda kwake jioni,
Yuko kawaida hajavaa Pedi au kulalamika tumbo
Tumefanya ya kufanya Nmemkamia sana niichokonoe labda itatoka Bado ni bila bila,
baada ya kumaliza kufanya ikabd nimchomekee story nijue labda alishablidi mapema mwezi huu maana siku za nyuma kdg tulkua na ugomvi.
Nikamwambia
"Mpnz wang wkt nanawa nmeona matone ya damu kwny kichwa, nna wasiwasi Utakua umeanza kublidi"
Akasema, "mi sijui, itakua labda,afu Pedi zenyewe nmebak Nazo mbili"
Nikamuuliza, " ujui kivipi, Kwan mwezi huu ujaenda blidi?" Akasema "Bado" nikamjibu kua ntamwachia ela,kesho akanunue Pedi dalili znaonyesha mda wote anaweza kublidi.akasema sawa.
Basi tar 16 juzi nmesubiri ablidi, bila bila
Tar 17 jana niko kwake akanambia anajihisi kichefuchefu, na kweli wkt nasex nae akachomoka kifuani na kwenda chooni kutapika. Mapigo ya moyo yamenienda mbio sana nikihofia mimba nikawa namsistiza kinafiki kesho akapime itakua malelia hiyo.
Akanambia anawasiwasi itakua mimba hiyo nijiandae kuitwa baba maana chuchu zake zmeanza kuuma na kuvimba tangu juzi, kiunafiki nikawa nambusu tumbo lake kua nna hamu sana na mtoto kuliko hata yeye. Basi tukacheka na kufurahi.
Ila Moyoni Sina Raha hata kidg,
Kichwa kinauma balaa nawaza itakuaje
Najilaumu sana kuchanganya pombe na kwenda kufanya mapenzi,juhud zangu zote za p2 Ili kuzuia lisitokee zimegonga mwamba.