Balaa halitaletwa na T.B. Joshua

Balaa halitaletwa na T.B. Joshua

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,535
Reaction score
832,980
Ujio wa ghafla (kama ni kweli ni ghafla)wa T.B. Joshua Tanzania na kupokelewa na Magufuli mshindi wa ccm kiti cha urais na kukanyaga ardhi ya Tanzania pekupeku (japo alikuwa kavaa soksi kwahiyo sio pekupeku kabisa) kulizua mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii na wengi wakitabiri kama ni uchuro na balaa ...mimi napingana nao

T.B. Joshua na umaarufu wake hawezi kuleta balaa lolote ni kiumbe mdogo sana kwenye huu ulimwengu yeye alishuka kama dismainder fulani hivi, wamekuja na ndege yake kavaa alivyovaa hajali protocol, safarini aliamua kuvua viatu miguu ipumue (waliopanda ndege hata magari ya masafa marefu wanakua ni kwanini). Kwahiyo kwake ilikuwa ni sawa tu hata angeamua kuvaa bukta ...halafu awaachie walimwengu waje na tafsiri zao lukuki

Kwahiyo yeye hana uwezo huo wa kutuletea mabalaa bali mabalaa yataletwa na wale walioshika misahafu na kula kiapo cha ushindi wao bandia tena mbele ya maelfu ya watu..hii ni dhihaka na dharau kubwa mbele za Mungu. Hakuna jambo baya kama kumshirikisha Mungu kwenye dhambi na kumuomba akusaidie kuhalalisha udhalimu wa waziwazi ulioufanya...Mungu si wa maskhara kihivyo
Kama kweli Mungu au whatever ataamua kushusha mabalaa na kuadhibu asilaumiwe T.B.Joshua bali wale wote walioshiriki udhalimu na kushika misahafu
 
balaa zaidi ni kwa yule anayeendeshwa na hisia na kushuhudia jambo ambalo ukimwambia atoe vithibitisho vya ushindi wa kuiba atatoa macho kama kenge kabanwa kinywani mwa mamba! na alaaniwe yule ashuhudiaye uongo! afadhari mchawi kuliko muongo na mfitinishi maana yupo radhi kuangamiza nchi kisa anashuhudia uongo.
 
huwez ukamuelewa tb joshua kwasasa had litokee jambo
 
Unaongea haya kwa elimu gani ya Imani ya Kikristo uliyonayo?

Ningefurahi kama ungeomba ushauri kwa wanaojua. Ukristo ni zaidi ya dini.
 
balaa zaidi ni kwa yule anayeendeshwa na hisia na kushuhudia jambo ambalo ukimwambia atoe vithibitisho vya ushindi wa kuiba atatoa macho kama kenge kabanwa kinywani mwa mamba! na alaaniwe yule ashuhudiaye uongo! afadhari mchawi kuliko muongo na mfitinishi maana yupo radhi kuangamiza nchi kisa anashuhudia uongo.

Ni wazi umekurupuka rudia kusoma nilichoandika
 
Unaongea haya kwa elimu gani ya Imani ya Kikristo uliyonayo?

Ningefurahi kama ungeomba ushauri kwa wanaojua. Ukristo ni zaidi ya dini.

Rudia kusoma nilichoandika usikurupuke
 
Back
Top Bottom