BEDO NYALUTOGO
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 1,328
- 194
bakwata=ccm
Infact malalamiko ya wa Zanzibari kuhusu muungano yana make sense kuliko ya Wabara. Wao wana sababu za kiuchumi. Sisi tuna lalamika eti wao wana bendera sijui katiba yao imekuaje, and all nosense. Ili kutoimeza zanzibar na kuifanya kama mkoa kuna umuhimu wa wao kuwa na serikali yao.
Sasa naanza kuamini kwa nini tasisi nyingine za kiislamu zinaipinga Bakwata,sasa nimeanza kuelewa ila naogopa kutoa maoni yng isije ikanishukia dhahama,ccm bwana matawi hadi kwenye imani?
Acha kuchanganya mambo...equation gani uliyoweka ambayo haiwezi hata ku-balance!Tanganyika +Zanzibar = Tanzania na
Tanganyika+Zanzibar sio Tanganyika+Zanzibar+Tanzania
Hivi Tanganyika yetu itarudi kweli?
source:Magaazetini _RFA.
Hoja zenu za kutaka Tanganyika ni dhaifu na zimetawaliwa na chuki na ulevi.
Ni zao la chuki aliyo ipandikiza mtikila. Hakuna manufaa ya kiuchumi wala ya kijamii yatakayo patikana kwa kurudisha serikali tatu. Achaneni na siasa za chuki na jazba