Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Hivi Tanganyika yetu itarudi kweli?
source:Magaazetini _RFA.
source:Magaazetini _RFA.
Hoja zenu za kutaka Tanganyika ni dhaifu na zimetawaliwa na chuki na ulevi.
Ni zao la chuki aliyo ipandikiza mtikila. Hakuna manufaa ya kiuchumi wala ya kijamii yatakayo patikana kwa kurudisha serikali tatu. Achaneni na siasa za chuki na jazba
Hivi Tanganyika yetu itarudi kweli?
source:Magaazetini _RFA.
Mkisharudisha Tanganyika mtanufaikaje? ili iweje. Hongera bakwata.
Hoja zenu za kutaka Tanganyika ni dhaifu na zimetawaliwa na chuki na ulevi.
Ni zao la chuki aliyo ipandikiza mtikila. Hakuna manufaa ya kiuchumi wala ya kijamii yatakayo patikana kwa kurudisha serikali tatu. Achaneni na siasa za chuki na jazba
Majority gani wamepinga watu 49 ndiyo majority we waajabu kweli.Hizi serikali kama ni mzuri kwanini zipingwe na majority ya Watz?
Wanaotaka serikali tatu ni wale waliopanga kugawana vyeo wala siyo kuimarisha nchi.
Hoja zenu za kutaka Tanganyika ni dhaifu na zimetawaliwa na chuki na ulevi.
Ni zao la chuki aliyo ipandikiza mtikila. Hakuna manufaa ya kiuchumi wala ya kijamii yatakayo patikana kwa kurudisha serikali tatu. Achaneni na siasa za chuki na jazba
wanaotaka serikali tatu ni wale waliopanga kugawana vyeo wala siyo kuimarisha nchi.
Kama ni hivyo unaonaje tukiwa na NCHI MOJA NA SERIKALI MOJA ili tuwe na manufaa ya kweli ya kiuchumi na kijamii?. Pia tutakua na umoja na mshikamano wa dhati na pia tutaokoka gharama za kuendesha serikali tatu. Unaonaje mkuu?