Aliyekwambia bakwata inawakilisha waislamu ni mgalatia kama wewe!
Sisi waislamu tunasema BAKWATA HAIWAKILISHI MUISLAMU YYT.
Ni kundi lililowekwa na MFUMO KRISTO. Na halina uhai mrefu litaanguka tu! Na hilo kundi lilikuwa life miaka mingi mno lkn wanaoli support ni huo MFUMO!
Acha dharau.Bakwata njaa wana tudharirisha waislam
Ukimsema lowasa jiandae kusutwa na wanaomtegemea kimaslahi! Lowasa anatisha toka ndani ya ccm mpaka misikitini na makanisani!
- Sheikh mkuu wa Mkoa huwa anawazungumzima BAKWATA toka lini eti? au kuna kitu sijaelewa hapo?
Le Mutuz
Tishio kwa Edward Tsunami Lowassa ni CHADEMA tu na hivyo kete ya Zitto ndio ime bounce, mtihani umekua mkubwa zaidi. Na nikiangalia sioni ni vipi na wapi ataweza fanya kupunguza nguvu ya CHADEMA.
Sio siri CHADEMA wame handle ishu ya Zitto vizuri mno na kwa wakati muafaka!
Ndani ya CCM hakuna mtu wala kundi linalomweza Tsunami sababu wote wanaongozwa na matumbo yao tu and they know and fear the man who can feed them.
sheikh mkuu wa mkoa wa dsm leo amezungumza na waandishi wa habari na kukemea kitendo cha paul makonda kutumika na kuwahusisha viongozi wa kiislamu na harakati za lowassa kwenda ikulu
sheikh mkuu amesema wao kama waislamu hawawezi kuchaguliwa marafiki,wala mtu wa kushiirikiana nae ktk misaada ya kuujenga uislamu na taasisi zake.amemuonya makonda kuacha kutumika na kuharibu sifa za viongozzi wa kidini.
Sheikh mkuu ameendelea kusema kuwa makonda hana amri wala dhamana ya kuwachagulia bakwata na waislamu mtu wa kuwa nae,amesema makonda aseme ni lini na wapi viongozi wa dini walitumika kwa uislamu wao kupiga kampeni.za lowassa kwenda ikulu
my take
mzee mamvi jamani anatisha sana,kasi yake ni ya hatari...kakaba kila kona
Viongozi kama hawa wa kidini ndio wanaopunguza waumini katika nyumba za Ibada, leo hii unasimama na kuanza kujiingiza kwenye mamboa ya siasa tena kumshabikia mtu ambae waislam mkiwa mmejifungia Msikitini mnamwita KAFIR na kuzima vipaza sauti ili msikilizane wenyewe tu huu ni unafiki na nafikiri ili uislam iwe dini ya wenye elimu ya ufahamu ni vema tukajikita kwenye dini na kuachana na mambo ya siasa na kwa hili huyu Shehk wa Mkoa amejiingiza kwenye kashfa ambayo sidhani kama waumini wa kiislam watamuacha.
- Sheikh mkuu wa Mkoa huwa anawazungumzima BAKWATA toka lini eti? au kuna kitu sijaelewa hapo?
Le Mutuz
Bakwata msipende vtu vya burebure mta....
fi......
rwa........
Uloi nga mâché68;8554398 said:Kweli Lowassa kiboko! Kawanunua Hata Bakwata. Jamani Bakwata jitambueni. Hivyo vijisenti visiwavunjie heshima.
tunawategemea sana.
Bakwata msipende vtu vya burebure mta....
Lowassa akabidhi katoni za tende na jozi za kanzu kwa waislam wamonduli .
Imechapwa tarehe Jul 26 2012 //
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikabidhi sehemu ya tende kwa Masheikh wa
Mji wa Monduli kwa ajili ya Ftar katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.kutoka kushoto ni Sheikh wa Mto wa
Mbu,Sheikh Nasib Idd Nasib Mnyema,Katibu wa Bakwata wilaya ya Monduli,Idd Idoya,Ustadh Swalehe Ramadhan na
sheikh wa wilaya ya Monduli Sheikh Mwinshehe Mwinyimgeni Salum Simba.Makabidhiano haya yamefanyika leo asubuhi
nyumbani kwa Mh. Lowassa,Monduli.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akipena mikono na Mashekh wa Wilaya ya Monduli baada
ya makabidhiano ya katoni kadhaa za tende pamoja na jozi 100 za kanzu kwa ajili ya Waislam wa Monduli.Akipokea
msaada huo, Sheikh wa wilaya