BAKWATA wamkemea Makonda

Thread kama hizi ni mwiba kwa WAPAGANI wa Lumumba!Huwezi kuwaona wakichangia 'mwenzao' anapotoa sapoti kwa mtu wa CCM,lakini 'mwenzao' akitoa sapoti kwa CHADEMA utawaona wanavyopishana kutetea UPUMBAVU!

Kunya anye bata akinya kuku,KAHARISHA!
 

Si ukarimu ni rushwa. Hata kanisani jamani?
 
Last edited by a moderator:
RC hawawezi kutoa tamko katika hoja ndogo kama hizi, labda mtu binafsi, lakini haliwezi officially kutoka TEC au taasisi ya RC
Opaque issue ya Lowassa kutaka kuwa rais sio Ndogo. Hii ni vita ya kisiasa ni kufa na kupona.
Kama kiongozi wa juu wa Kikatoliki akitoa tamko ujue hilo litaonekana ni tamko la kanisa katoliki unless mamlaka rasmi za Kikatoliki zilikane hadharani.

Lowassa amekuwa akialikwa kwenye makanisa mengi sana ya kikatoliki na 'Kumwaga Pesa' zake nyingi na Taasisi rasmi za kikatoliki kama TEC zikiwa kimya kuashiria kwamba zinafurahishwa na hilo, so what do you expect?

Kama kauli ya Kusema Kikwete ni chaguo la Mungu 2005 ilitolewa na kanisa katoliki, unategemea nini kitatokea kwa Lowassa?
 
Last edited by a moderator:
Sheikh wa mkoa amenena, Paul Makonda ametumwa na waliomtuma wanajulikana, akaona awahusishe na viongozi wa dini ili hoja yake ibebwe. Mimi nadhani Makonda na wenzake kwanza wangemuuliza Mheshimiwa Lowassa tafsiri ya Safari ya ndoto yake kuliko kukurupuka na kujifanya anajua kusema kumbe hajui asemalo. Nadhani mwaka 1995 Paul makonda alikuwa bado kinda, na angeuliza Mzee malecela alifanya nini katika kuuwania urais. Ni kwamba alichapisha wasifu wake na akazunguka nchi nzima kuwashawishi wenyeviti wa chama ili awe mgombea urais. Wakati huo hata mchakato ulikuwa bado. Kwa akina Makonda hili halikuwa dhambi, dhambi ni pale Mheshimiwa Lowassa anapotamka tu Safari ya ndoto yake...
 


- Sheikh mkuu wa Mkoa huwa anawazungumzima BAKWATA toka lini eti? au kuna kitu sijaelewa hapo?


Le Mutuz
 

Hahahaa haaaa Nimecheka
 
- Sheikh mkuu wa Mkoa huwa anawazungumzima BAKWATA toka lini eti? au kuna kitu sijaelewa hapo?


Le Mutuz

BAKWATA ni NGO kama zingine

BAKWATA inawakilisha hao waislam walikubali kuwa kiwe ni chombo cha kuwakilisha fikra Ao etc


BAKWATA ni ngo ambayo haifanyi na haina audited accounts na sielewi kwa nini RITA haijafuingia mpaka leo


BAKWATA kama ilivyo NGO za WAPUKI...WANYAMA...etc haina kiongozi hata mmoja aliyemaliza form 2....


WAISLAM wa Dar es salaaam wako toka madhehebu tofauti kama Shia.... Sunni ....answar... cosmopolitan... cafeteria...istoqama....SAIGONI CLUB....wauza nazi...STD 7Waswahili....wangazija starbucks...TISS...google...wikipedia...muhajirun...BARAZA KUU....MBA....ivy league...ijummaa mpaka ijumaa....PHD salafis...maulid.... radicals....fundies...MSAUD...YESU SI MUNGU...mtoro....kisiwani...mwembechai....OIL &GAS...sinza....JF....ngamia....kichangani....jina...temeke...kwa mwinyi....ACCA...OXBRIDGE....CCM...iddi mpaka Iddi...



sasa huyu Sheikh wa Bakwata anaposema anaaakilisha maoni ya waislam wa Dar alitakiwa awe specific kuwa anaaakilisha waislam wepi kwenye kindi hilo hapo juu.

Nijuavyo atakuwa anaaakilisha kundi la STD7 wenzake na
 
ha ha ha jamaa ana balanced chemical/Psychological equation
 
- Sheikh mkuu wa Mkoa huwa anawazungumzima BAKWATA toka lini eti? au kuna kitu sijaelewa hapo?


Le Mutuz
Ngoja nikusaidie kidogo.
Mufti wa Tanzania ndiye kiongozi mkuu na BAKWATA na ndiye msemaji MKUU wake na msemaji mkuu 'rasmi' wa waislam Tanzania.
Masheikh wote wa mikoa ni sehemu ya BAKWATA na pia ni wasemaji wa BAKWATA.

Lakini Sheikh wa Dar ndiye mara nyingi amekuwa akijitokeza hadharani kuwasemea waislam au BAKWATA kwa nchi nzima(Iwe kwa niaba yake au kwa niaba ya mufti au kwa niaba ya waislam wa Dar) hii ni kulingana na umaarufu wa mkoa wa Dar na ukaribu na ushawishi wake kwenye matukio muhimu na maarufu ya kitaifa yanayowahusu waislam dhidi ya serikali au jamii zingine za kiimani hapa Tanzania.
Hivyo siku zote kauli zake ndio zimeonekana kama ndio kauli rasmi za BAKWATA Tanzania na waislam wote kwa ujumla nchini.
 

Na huyu wa cdm yeye antokea lango gani?.
 

Ntashukuru km utanisaidia kwa Hilo!
 
haiwezi tokea
 
Raha yetu sisi dini yetu haikaliwi kikao kule dodoma wala vatican kwa waliberali.

Nyie mtaona mpaka yesu asale akatae kurudi!

Lowassa ndio chaguo la waislamu? maana bakwata inawakilisha waislam.
 
ingawa me si muislam ili siku zote nimekuwa nikijiuliza hivi huyu bwana mdogo shekh wa mkoa wa Dsm ndio defacto mufti wa Tanzania au laa?! si vibaya kusimama na kusemea kundi fulani la watu kama wamekuruhusu vinginevyo hiyo inakuwa ultra-vires.

ushauri wangu kwa huyu bwana mdogo ni aache ushabiki wa kisiasa na kutumiwa na ccm, anawagawa waumini
 
Uloi nga mâché68;8554398 said:
Kweli Lowassa kiboko! Kawanunua Hata Bakwata. Jamani Bakwata jitambueni. Hivyo vijisenti visiwavunjie heshima.
tunawategemea sana.

Bakwata walishanunuliwa na CCM toka enzi za uhai wa Nyerere, na hii ilitokana na njaa kali ya viongozi wao, Bakwata hawajali kushughulikia mambo ya msingi ya Shekhe Ponda kwa vile tu alikuwa anataka kuwanyima tonge lao..

Bakwata amukeni mteeteee Uislam na haki zenu na siasa muwaachie wenyewe, Wale watu wa UAMSHO bado wapo gerezani bila kutendewa haki nyie mmekaa kimya halafu leo mkisika EL kasemwa basi mnaamka kama Nungu nungu wanatoka shimoni kukimbia siafu

UCHAGUZI HURU NDANI YA BAKWATA UTALETA VIONGOZI WA KWELI NA ILI UCHAGUZI UWE HURU BASI MSIPOKEE PESA TOKA SERIKALINI ZA KUENDESHEA UCHAGUZI ,,BILA HIVYO BAKWATA INABAKI KUWA NYOKA WA KIBISA
 
Lowassa ndio chaguo la waislamu? maana bakwata inawakilisha waislam.

Aliyekwambia bakwata inawakilisha waislamu ni mgalatia kama wewe!
Sisi waislamu tunasema BAKWATA HAIWAKILISHI MUISLAMU YYT.

Ni kundi lililowekwa na MFUMO KRISTO. Na halina uhai mrefu litaanguka tu! Na hilo kundi lilikuwa life miaka mingi mno lkn wanaoli support ni huo MFUMO!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…