papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 764
- 504
Sheikh mkuu wa mkoa wa Dsm leo amezungumza na waandishi wa habari na kukemea kitendo cha Paul Makonda kutumika na kuwahusisha viongozi wa kiislamu na harakati za Lowassa kwenda Ikulu
Sheikh mkuu amesema wao kama Waislamu hawawezi kuchaguliwa marafiki,wala mtu wa kushiirikiana nae ktk misaada ya kuujenga uislamu na taasisi zake.Amemuonya Makonda kuacha kutumika na kuharibu sifa za viongozzi wa kidini.
Sheikh mkuu ameendelea kusema kuwa Makonda hana amri wala dhamana ya kuwachagulia BAKWATA na Waislamu mtu wa kuwa nae,amesema Makonda aseme ni lini na wapi viongozi wa dini walitumika kwa uislamu wao kupiga kampeni.za Lowassa kwenda Ikulu
NB;% Mzee mamvi jamani anatisha sana,kasi yake ni ya hatari...kakaba kila kona
HUYO anaejiita shekh wa DSM hana Mamlaka ya kusema juu ya waislam na uislam MSINGI MKUU WA UISLAM NI KUA LILE ALILO KUPENI ALLAH NA MTUME WAKE CHUKUENI NA LILE ALOKUKATAZENI ACHENI. ALLAH KATUKATAZA TUSIWAFANYE BABA ZETU NA WATOTO ZETU MARAFIKI WA KARIBU KAMA WAO NI WENYE KUPENDA UKAFIRI ZAIDI YA UISLAM. Quran 9:23 sasa huyo MNAFIKI mkuu wa mkoa wa DSM atamletaje huyo KAFIRI kua rafiki wa WAISLAM ? yeye angekemea hivi Makonda asiwachagulie WANAFIKI rafiki hapo sisi WAISLAM tungemuelewa.sababu kundi la wanafiki limo ktk jamii ya waislam na Allah kasema ktk Quran tabia yao kubwa ni kuwafanya Makafiri vipenzi vyao zaidi ya waislam." kama alivyodhihirisha huyo mkubwa wao wa mkoa wa Dsm
nasikitika sana kuona vijana wadogo walio smart wanaingia kwenye kambi za urais kipumbavu namna ile
sometimes kukaa kimya kunasaidia sana
umetisha mkuu.nagonga "LIKE" .Siku zote mgombea urais wa CCM ni lazima atokee kwenye milango ya Kanisa au Misikiti.
Alifanya Kikwete na atafanya pia Lowassa, Membe au Sitta nk.
Huwezi kuitenganisha CCM na Udini.
Humo toa wasabato,huwa hawjihusishi na siasaSoon usishangae pia tamko la wakristo kupitia CCT, PCT, RC au Sabato wakimuonya pia Makonda uache kuropoka!!
Siku zote mgombea urais wa CCM ni lazima atokee kwenye milango ya Kanisa au Misikiti.
Alifanya Kikwete na atafanya pia Lowassa, Membe au Sitta nk.
Huwezi kuitenganisha CCM na Udini.
RC hawawezi kutoa tamko katika hoja ndogo kama hizi, labda mtu binafsi, lakini haliwezi officially kutoka TEC au taasisi ya RCSoon usishangae pia tamko la wakristo kupitia CCT, PCT, RC au Sabato wakimuonya pia Makonda uache kuropoka!!...
Wewe kweli ndio kafiri halisi tena Kafiri lenye gamba gumu zaidi ya kobe! Shekh wenu anatoa tamko unampinga? Muite ujuavyo ila haibadirishi kitu, ndo kiongozi wenu. Weka quotes zote za Kuran ila atabaki kuwa kiongozi wenu na anakula hela la Mh Lowassa. Vp kuhusu wale mashehe wa Mwanza walomvalisha kabisa Mh Lowassa yale magauni yenu na mitandio na akawasaidia zaid ya Mil. 500 nao ni makafiri? Acha matusi kijana! Jiheshimu uheshimiwe, dini haitetewi kwa matusi..'HUYO anaejiita shekh wa DSM hana Mamlaka ya kusema juu ya waislam na uislam MSINGI MKUU WA UISLAM NI KUA LILE ALILO KUPENI ALLAH NA MTUME WAKE CHUKUENI NA LILE ALOKUKATAZENI ACHENI. ALLAH KATUKATAZA TUSIWAFANYE BABA ZETU NA WATOTO ZETU MARAFIKI WA KARIBU KAMA WAO NI WENYE KUPENDA UKAFIRI ZAIDI YA UISLAM. Quran 9:23 sasa huyo MNAFIKI mkuu wa mkoa wa DSM atamletaje huyo KAFIRI kua rafiki wa WAISLAM ? yeye angekemea hivi Makonda asiwachagulie WANAFIKI rafiki hapo sisi WAISLAM tungemuelewa.sababu kundi la wanafiki limo ktk jamii ya waislam na Allah kasema ktk Quran tabia yao kubwa ni kuwafanya Makafiri vipenzi vyao zaidi ya waislam." kama alivyodhihirisha huyo mkubwa wao wa mkoa wa Dsm
Usheikh Yahya umeuanza lini?!ccm lazima ife kabla ya pasaka
Kati ya kitu ambacho hutokuja kusikia ni wasabato na matamko ya kisiasa kwanza huyo kiongozi ataanzaje kutoa matamko ya vitu visivyosimamiwa na misingi ya kanisa? Ndo maana wasabato hawapo katika ushirikiano au jumuia za makanìsa kabsa
Ha ha ha lowassa ni jini
Pasaka lini?
Chanya nadhani amekurupuka kuandika kitu usichokijua.
Lowassa na team yake wamejipanga kisawasawa.
Kwanini unadhani Wasabato wao pekee tu hawatatoa tamko la kumuunga mkono Lowassa akiwa tayari Lowassa alishafika kwenye makanisa yao na kumwaga Pesa yake akiwa kama 'Harambee'?
Kwa macho yangu mwenyewe nimemwona Lowassa kwenye makanisa ya Kisabato pia akialikwa kama mgeni rasmi na akiendesha harambee kubwa na mamilioni ya Pesa yakimwagwa.
Anayemlipa mpiga Zumari ndiye anayechagua Wimbo. Huwezi kusema Lowassa humpendi na hapo hapo unataka pesa yake.
Tegemea lolote linaweza kutokea kuelekea 2015.
Si kweli kwamba wasabato hawako kwenye shirikisho lolote la makanisa. Madhehebu yanayofanana kiimani na kimtazamo yanakuwa na Shirikisho lao japokuwa sio lazima kila dhehebu liwepo.
Ipo jumuiya au shirikisho la madhehebu ya kisabato duniani na hata Tanzania lipo japokuwa sio rasmi sana.
Humo toa wasabato,huwa hawjihusishi na siasa
Kwa kukusaidia tu, Kuna makanisa mengi na madhehebu mengi sana ya Kisabato hapa nchini na Duniani lakini sio kila kanisa la kisabato au dhehebu la kisabato linasimama lenyewe kama lenyewe bali upo 'mwamvuli' wa makanisa ya Kisabato hapa Tanzania na Hata duniani ipo 'miamvuli' mingi inayowaunganisha wasabato mbalimbali. Hiki sio kitu kipya au kitu cha ajabu.Hilo shirikisho la makanisa ya kisabato ni lipi Hilo?